Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Hawa watu we waache tu ni ngumu kuwaelewa
 
Hapo ulipompangishia anakaa nani baada ya kumtimua? Namtafutia nyumba mchepuko wangu kipenzi
 
Please nakuomba usimfokee jamani, sio vizuri....[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti nakuona nakuona!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata sijui nacheka nini ila auntie na eve mmenifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…