Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Naona umeamua kufanya uvuvi wa kitaalamu zaid[emoji2][emoji2],watakuja wenyewe pm wala huangaiki[emoji23]
 
Ndiyo ukome kujenga vibanda,unabutua mara mbili tatu unasepa,kunguru hafugiki bro.
 
Kwa hiyo umegundua staili ya muziki wakati tayari kuna kucha??.
 
Kwamba Kwa Mwezi ilikuwa unahonga Karibu 2.5m aisee usiwe unaota hivi Mjuba..... Kadanganye Vitoto Vya Facebook... Mtu mwenye Huo Uwezo wa Pesa huwezi kumkuta JF anaandika Upuuzi kama wako
 
Kwamba Kwa Mwezi ilikuwa unahonga Karibu 2.5m aisee usiwe unaota hivi Mjuba..... Kadanganye Vitoto Vya Facebook... Mtu mwenye Huo Uwezo wa Pesa huwezi kumkuta JF anaandika Upuuzi kama wako
Namimi nimeliambia hilo bwege, akawadanganye watoto wenzake huko.
 
Ulipata yule mdada aliyemaliza chuo/aliyemaliza kidato cha sita kukufundishia kijana wako?

Ndio shida ya hivyo vitoto vilitoka shule huwa vinasumbua sana. Hela yako kamekula na bado mbunye kameigawa na kijana wako sijui itakuwaje
 
Kwa hiyyo ulivyomkuta kachoka roho yako ikafurahiiiiii
 
Hawa viumbe sijui kuna shida gani wako nayo,hii ishu imenitokea juzi,apa anapiga simu mpk namuonea huruma,na nimekuta tu text anabebishan na bwege mmoja iv,kila kitu anakipata but still hawaridhiki,kama hamtaki kua small house mtuambiage.
Kwenye miti mingi hakunaga wajenzi
 
Mmmh wewe kaka hii pesa yote afu akakucheat? How old is she? Unagharamia hadi ile mikucha? Hivi hizi bahati kwa nini hazidondokagi kwangu?

Mimi hiyo hela ningekuwa huyo dada ningekuwa natunza kidogo, baadae niliyoilitunza nakwambia nina sh ngapi nakuomba uniongezee ninunue kiwanja, unaninunulia kiwanja, nakazia hapo hapo nahakikisha mimi nisiwe kikwazo cha kulete migororo kwa familiya yako.ukinijengea nyumba nakuzalia mtoto na maisha yanaendelea.

Hata hivyo hizi bahati ni chache sana, lazima tuendelee kuzisoma humu jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…