Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Sasa kama zipo kwanini asitoe mzee?! Kuna watu wengine hiyo 350k ni kama punje kwenye gunia la mchele hey
kuishi kwingi kuona mengi...bado najiuliza kwanini kamfungulia uzi...wakati alikuwa anatimiza wajibu wake...sema alikosea pa kuwekeza...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti nakuona nakuona!
Unaniona venye nna ....😃
images (5).jpeg
 
Utajuaje panapostahili zaidi ya uliyempenda?
eehh[emoji2955][emoji2955][emoji2955]...
penda basi pale unajua...patakuwa na return...na msipoacha kuhonga...itachukua mda kujua panapostahili....

ile kitu eti kakupa kipochi 🪶 🪶 ndio na wewe unaona anastahili kutunzwa...ni makosa sana...(bora ununue ujue gharama nyingine hazikuhusu)

pamoja na yote [emoji1483] najua kwa dunia ya sasa most relationships are transactional[emoji846]
 
Aaah kabisa, pambana mama. Msusi nipo hapa.
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week

Glenn na Espy kwaherini ngoja nisome some pm zangu, naona hapa macho mengi....😁
 
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week

Glenn na Espy kwaherini ngoja nisome some pm zangu, naona hapa macho mengi....[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hujawahi niangusha Evelyn Salt
 
Back
Top Bottom