Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

Population ya wanaotumia cm vibaya ratio ikoje
NA bongo ratio ikoje?
Kupata ratio ya watu bilion na milion 60 moja kwa moja tutazidiwa, sio sisi dunia nzima hakuna nchi yenye warumiaji wengi wa simu kama china numbey ya watu inawabeba
 
SIsi tunatumia kwenye ujinga km kutafuta likes na umaarufu wa bure


NDio wengi hutumia kujifunza sana au kuingizia pesa
Hata wao ni vivyovivyo tu data za mwisho kabla google kuwaondoa huawei ilionesha walikuwa wanatazama sana ngono na kucheza magame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…