Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

Mchina alisahau kuwataja wajinga mnaodhani vyama vya siasa vitawatoa kwenye umaskini.
tunazungumiza kikwazo na sio chama kututoa kwenye matatizo , Mtu anafungua mradi ccmu wanataasisi hazihesabiki zinapita zinakusanya ela ukigoma wanakutungia kesi bila kusahau mahakama ni yao , kwa hali hii unajikwamuaje , hao wakina Mo na Bakhresaa ipo siku wataongea kama ccmu itatoka madarakan
 
wachina wote wanacheza kamari?
 
Waafrika wengi wakimuona mzungu wanakua na mashaka nae wakiamini ni jasusi.

Aisee china imejaza majasusi afrika ni kama utitiri. Usiamini wafanikio Yao kirahisi hivyo
ndio maana hampigi hatua , zingatia aliyoyasema mchina , UJINGA bado ndo janga kubwa kwenu , ujasusi sio hoja hapa hoja ni kauli zake zina tija kwenu
 
Huyo mchina anaitwa Tom.. Mrefu kwenda chini kifutu ana tumbo kubwa ni muongeaji sana ana nidhamu na heshima ya kinafiki sana hasa mbele ya viongozi na ni bingwa wa kujipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
wamekuja kutafuta wanawazuga viongoz wenu wasiojitambua wanatoza mikodi halaf wanawachekea wachina , mchina hatak mshika mkono kipofu wakati wa misosi
 
Mchina mjinga huyo arudi kwao. Yeye amefanya kazi analipwa vizuri na bado alitegemea Bilionea ndio amfungulie biashara ya mbao.

Nilitarajia kuona stori yako iseme mshahara aliolipwa kwenye ujenzi wa Benjamini Mkapa Stadium alitunza na kukuza kuwa Utajiri.

Hapo alipo tu utakuta ana Kadi ya CCM😂😂
 
Mkuu umefanya kazi na wanachi? Ikiwa umefanya nao kazi ungenielewa namaanisha nini
umefanya kaz na vibaka wa kichina yaan hao ni tabaka la chini kama ww sema wamekuzid akili na exposure so wakiwa bongo wanakuwa maboss zako so usiwatumie kuwahukumu wachina wote 1 B
 
Huyo ni Mchina bogus yaani pess za Boss wake tayari kashajifanya mjuaju wakato alishindwa hata kurudi kwao.
 
Kuamini kuwa CCM ni chanzo cha umaskini pia ni ujinga
ww unaishi kwa shemej yako ukila ukishiba unahisi shemej yako anaokota ela , leo naweka umeme nakuta kodi yao wamepandisha na mshahara hawajapandisha huku mfumuko wa bei wa vyakula na usafiri , halaf unaandika utopolo wako , ENDELEA KUISHI KWA SHEMEJ YAKO IPO SIKU UKIANZA JITEGEMEA UTAPATA AKILI
 
mkuu ndio maana hampigi hatua , mnatizama mambo kwa juu juu sana , hapo kuna KUONA FURSA , KUIPAMBANIA FURSA na KUFANIKIWA KWENYE FURSA ingekuwa rahis tu watu wengi wangepewa mitaji na wakafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…