elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Weka uzoefu mezani Mkuu.usinikumbushe hii kitu
Raha lakin naogopaRaha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Y uogope?Raha lakin naogopa
we ni miss kweli au magumashi tuAtakuwa kaonana na Lara 1 hahaaa
Kwan kuna mawazir humu?mbona huwa hawachangia vitu muhim kuhs wizara zaoSheria ya kutotajana ikiondolewa mawaziri wengi watarudi kwa Mark FB founder.
Mbona wewe hut...Raha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Kwan kuna mawazir humu?mbona huwa hawachangia vitu muhim kuhs wizara zao
Nimekutana nao zaidi ya 5 watu wa maana sanaUkiwa unafanya mambo ya hovyo hovyo humu ndani kila mtu utamuhisi ni muovu kama we we, nasshauri ukijiona wewe ni muongea hovyo jitaidi kukwepa marafiki wa mitandaoni, Mimi nimeshakutana na mdau wa humu ni bonge la mstaarabu.