wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yesu wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]My wii mchawi mpe mwana amlee
RAHA SANA IPO SIKU NITAKUJA MJINI KUKUONA.Raha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Haaa kumbe kuna kichaa humu j.f!![emoji87] [emoji87]mi nimekutana na kula nao bata wengi tuu.............bila kumsahau kichaa wangu bujibuji........... hahahaha
Uoga wako ndo umaskini wako[emoji108]Huo msemo kwangu haufanyi kazi kabisaaaa
Kulikoni?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Wapo mkuu... Omba ukutane na wastarabu mana wengine tulivyo wabaya ukituona waweza rudi kinyumenyume... Sasa ukutane na alieresi ni balaa tehNatamani nikutane na mwanaJf lakini sifanikiwi sijui hawa watu wako wapi??
wengi tuu............ we huoni comment zetu by the way kila binadamu ana kichaa kama hujui..........Haaa kumbe kuna kichaa humu j.f!![emoji87] [emoji87]
Niatafurahi sana siku hiyo mkuu, yaani sijawahi kumuona hata akifungua JF natamani nimuone ili nijue huwa tunajibizana na watu wa namna gani!!!Wapo mkuu... Omba ukutane na wastarabu mana wengine tulivyo wabaya ukituona waweza rudi kinyumenyume... Sasa ukutane na alieresi ni balaa teh
Utawaona sana mpaka uridhike... Ni kuvuta subira tuNiatafurahi sana siku hiyo mkuu, yaani sijawahi kumuona hata akifungua JF natamani nimuone ili nijue huwa tunajibizana na watu wa namna gani!!!
Asee ngoja niwe mpole kuanzia leo!!wengi tuu............ we huoni comment zetu by the way kila binadamu ana kichaa kama hujui..........
Wewe upo wapi tuonane ili uone raha bila karahaRaha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Ulijuaje kama ndiyo yeye?Nilikutana na Preta lakini hakunifahamu
Ha haa mpwa tuonaneMimi nafurahia tunavyojuana humu humu tu.....
Wengine wakikujua ndio wanakujua sana kuliko hata unavyojijua mwenyewe......
weweeeAtakuwa kaonana na Lara 1 hahaaa