silasmasha
Senior Member
- Aug 25, 2016
- 155
- 110
He he he poaMkuu tufunge mjadala huu. Una mda gani humu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he poaMkuu tufunge mjadala huu. Una mda gani humu ?
Tunaweka sawa kwanza ile mambo kakake usikonde[emoji1]Mbona wewe hut...
Usiogope tina wanguTunaweka sawa kwanza ile mambo kakake usikonde[emoji1]
Haya kakakeUsiogope tina wangu
Nshaamka[emoji4]
KaribuHaya kakake
Natamani kukutana na weweRaha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Wewe tenaa... Ukuje tuNatamani kukutana na wewe
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Wewe tenaa... Ukuje tu
Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]Wewe tenaa... Ukuje tu
My wii mchawi mpe mwana amleeHaumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
usisahau kuniTagKaribu
Kama ni kweli weka picha[emoji86] [emoji86]Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwana jamiiforum ilikuwa ni furaha na vicheko hii tumia majina siyo, inafanya mkionana ku enjoy zaidi, ila nilichogundua wengi wakipanga kuonana wanakuwa na hofu sana haswa baada ya sheria iloyotukosesha Zaidi ya billion Mia tisa, ila nawapa moyo wasiogope si kila mtu ni muovu(serikali)
Huo msemo kwangu haufanyi kazi kabisaaaaMy wii mchawi mpe mwana amlee
Asee mi juzi nilikuwa zangu kirai nikawa nimepanda daladala pale ubumgo inayoelekea mbezi nikawa nimesimama!! Kwa mle ndani tulikuwa wengi!!kufika baruti kuna lijamaa likapanda!!haki ya mungu lilikuwa bonge balaa hadi nikamwonea uruma!!sasa kufika korogwe kuna abiria walishuka mimi nikapata siti nikakaa gule bonge akawa amesimama!mi nikajisikia huruma nikaona nimpe tuu ile siti!! Nikamwambia broo njoo ukae hapa!!asee akanishukuru sana akakaa!!laa haula akatoa cm aina ya sony kubwa hivi mi nikawa namcheki tuu anavyohemea juu juu ikaingia j.f mi kiroho kikaanza kudunda jujuu nijue ni nani!! Asee bahati mbaya alikuwa ameshalog in lakini akawa anacoment tuu!asee nilitamani nijue yule ndo nani ila bahati mbaya asee!!!!nini kiliwakutanisha mkuu?
maana sijawahi ona mtu yeyote akilog in Jf
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wewe tenaa... Ukuje tu