Nimekutana na mwanajamiiforum

Nimekutana na mwanajamiiforum

Asee mi juzi nilikuwa zangu kirai nikawa nimepanda daladala pale ubumgo inayoelekea mbezi nikawa nimesimama!! Kwa mle ndani tulikuwa wengi!!kufika baruti kuna lijamaa likapanda!!haki ya mungu lilikuwa bonge balaa hadi nikamwonea uruma!!sasa kufika korogwe kuna abiria walishuka mimi nikapata siti nikakaa gule bonge akawa amesimama!mi nikajisikia huruma nikaona nimpe tuu ile siti!! Nikamwambia broo njoo ukae hapa!!asee akanishukuru sana akakaa!!laa haula akatoa cm aina ya sony kubwa hivi mi nikawa namcheki tuu anavyohemea juu juu ikaingia j.f mi kiroho kikaanza kudunda jujuu nijue ni nani!! Asee bahati mbaya alikuwa ameshalog in lakini akawa anacoment tuu!asee nilitamani nijue yule ndo nani ila bahati mbaya asee!!!!
Wewe broo uliepanda daladala baruti kuelekea mbezi nikakupa siti pale korogwe juzi j.pili jioni mimi ndo wa stendi niliekupisha ukakaa!!
Ushauri wangu kwako!!! Mkuu kama na wewe uko humu nakushauri upunguze mwili huo kijana bado taifa tunakuhitaji!!!
apunguze bia
 
mimi naomba nikutane na mwana JF ,mkazi wa ukonga
 
Back
Top Bottom