Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mnialike mpangapoNatamani kukutana na wewe
Wewe tenaa... Ukuje tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnialike mpangapoNatamani kukutana na wewe
Wewe tenaa... Ukuje tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnialike mpangapo
Yes, nataman ck moja nikuone mtumishi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu Mabibo hata kesho nipo freeYes, nataman ck moja nikuone mtumishi
Si ndyo hawo apo na majina fakeNatamani nikutane na mwanaJf lakini sifanikiwi sijui hawa watu wako wapi??
Kama hiyo avatar ni yako endelea kuwa muoga kuna makabila ukimkatalia kwa njia ya kawaida anatumia nguvu ni shidaUoga wako ndo umaskini wako[emoji108]
Tuonane sasa[emoji53]Raha kuonana na mwana Jf mwenzio....
Ilikuwaje ulimuiga Kobe kuingiza kichwa ndaniNilikutana na Preta lakini hakunifahamu
Wapo mkuu... Omba ukutane na wastarabu mana wengine tulivyo wabaya ukituona waweza rudi kinyumenyume... Sasa ukutane na alieresi ni balaa teh
Mwambie aje na hela alizoficha nyumbaniUko wapi
Mabibo kubwa, mahakama ya ndizi, mabwawani au!Karibu Mabibo hata kesho nipo free
We utakua shahidi kakake uskondeMnialike mpangapo
Mlikutana kwenye thread ya kiroho, kisiasa au uhusianonilikutana na mwana jf mpk leo amekua kama ndugu wa damu.
Yani sijakupata kabisaKama hiyo avatar ni yako endelea kuwa muoga kuna makabila ukimkatalia kwa njia ya kawaida anatumia nguvu ni shida
Naomba nisishuhudie mambo yote, baada ya utambulisho ntawaachia faragha[emoji23] [emoji23] [emoji23]We utakua shahidi kakake uskonde
Utanipa hela eeTuonane sasa[emoji53]
Kiaje?Ilikuwaje ulimuiga Kobe kuingiza kichwa ndani
Hebu kesho nishtue dadakeWe utakua shahidi kakake uskonde
Kuazia mitaa hiyo mpaka kigogo kisha shuka mburahati mpaka manzese midiziniMabibo kubwa, mahakama ya ndizi, mabwawani au!