Nimekutana na mwanajamiiforum

Nimekutana na mwanajamiiforum

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mwana jamiiforum ilikuwa ni furaha na vicheko hii tumia majina siyo, inafanya mkionana ku enjoy zaidi, ila nilichogundua wengi wakipanga kuonana wanakuwa na hofu sana haswa baada ya sheria iloyotukosesha Zaidi ya billion Mia tisa, ila nawapa moyo wasiogope si kila mtu ni muovu(serikali)
 
embu weka mambo sawa mmekutana wapi na je urafiki wenu umeanzia humu ndani na mwishowe mmekuja kumeet au ilikuaje
 
mimi ilikuwa kwenye daladala, yeye amekaa ktk siti mi nimesimama, akatoa simu mfukoni na kufungua jf, nilipojaribu kumdadisi anatumia id gani sikufanikiwa iSeee..! ...nikampotezea
 
Sheria ya kutotajana ikiondolewa mawaziri wengi watarudi kwa Mark FB founder.
 
Ukiwa unafanya mambo ya hovyo hovyo humu ndani kila mtu utamuhisi ni muovu kama we we, nasshauri ukijiona wewe ni muongea hovyo jitaidi kukwepa marafiki wa mitandaoni, Mimi nimeshakutana na mdau wa humu ni bonge la mstaarabu.
Nimekutana nao zaidi ya 5 watu wa maana sana
 
Back
Top Bottom