elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
- Thread starter
- #101
We unajua kufanya nini zaidi ya story tuMlikutana halafu mkafanya nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajua kufanya nini zaidi ya story tuMlikutana halafu mkafanya nini
Hapa hupati ata miaUtanipa hela ee
Ubaki mpaka mwisho bana utamuachiaje fisi bucha[emoji30]Naomba nisishuhudie mambo yote, baada ya utambulisho ntawaachia faragha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha chenga live, we tuonane shambani chalinze bhanaKuazia mitaa hiyo mpaka kigogo kisha shuka mburahati mpaka manzese midizini
Poa kakake takudipuHebu kesho nishtue dadake
Nyama ni kwa ajili ya mlaji so ni mahala pake tuUbaki mpaka mwisho bana utamuachiaje fisi bucha[emoji30]
Na siji sasaHapa hupati ata mia
Utakunywa soda tu
Un beep eeePoa kakake takudipu
Sio vizuri halafuNyama ni kwa ajili ya mlaji so ni mahala pake tu
Njoo keshoNa siji sasa
Haya takuja na shost zangu wa4Njoo kesho
Kibo palace
Una nia ya kunipa shot, na magu huyu, bora tukutanie kwa mrombooHaya takuja na shost zangu wa4
Umenichekesha sana mkuu...ataona tuuAsee mi juzi nilikuwa zangu kirai nikawa nimepanda daladala pale ubumgo inayoelekea mbezi nikawa nimesimama!! Kwa mle ndani tulikuwa wengi!!kufika baruti kuna lijamaa likapanda!!haki ya mungu lilikuwa bonge balaa hadi nikamwonea uruma!!sasa kufika korogwe kuna abiria walishuka mimi nikapata siti nikakaa gule bonge akawa amesimama!mi nikajisikia huruma nikaona nimpe tuu ile siti!! Nikamwambia broo njoo ukae hapa!!asee akanishukuru sana akakaa!!laa haula akatoa cm aina ya sony kubwa hivi mi nikawa namcheki tuu anavyohemea juu juu ikaingia j.f mi kiroho kikaanza kudunda jujuu nijue ni nani!! Asee bahati mbaya alikuwa ameshalog in lakini akawa anacoment tuu!asee nilitamani nijue yule ndo nani ila bahati mbaya asee!!!!
Wewe broo uliepanda daladala baruti kuelekea mbezi nikakupa siti pale korogwe juzi j.pili jioni mimi ndo wa stendi niliekupisha ukakaa!!
Ushauri wangu kwako!!! Mkuu kama na wewe uko humu nakushauri upunguze mwili huo kijana bado taifa tunakuhitaji!!!
Kama kwa mromboo thiji... Nataka huko huko palaceUna nia ya kunipa shot, na magu huyu, bora tukutanie kwa mromboo
Hutaki mbuzi Choma! Muenjoy na rafiki zakoKama kwa mromboo thiji... Nataka huko huko palace
Uko wapiNatamani sana nikutane na hata mmojawapo humu
Uje na corridor spring hotelHaya takuja na shost zangu wa4
Niko humu JfUko wapi
Thijiii megairiHutaki mbuzi Choma! Muenjoy na rafiki zako
Palace utaishia kunawa tu, labda maji tu