Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Kuna mjinga mmoja alinisumbua sana nimtafutie mke,nikamtafutia,tukamsafirisha binti wa watu,kafika kule baada ya mwez jamaa ananiambia kapigiwa simu na mwanamke aliekuwa anampenda sana,sasa anashindwa afanyeje

Nilichoka,niliapa kwasasa siwez waanganisha watu katika ndoa,binti wa watu aloteseka mno mpaka nikataman nimrudishe nimuoe mimi
Aisee huyo mjinga huenda ni bro wangu kabisa
 
Sikulaumu mkuu. Yanatokea hasa Kwa tabia ya wakina dada kujibebeaha mimba ili wakugande.
 
Kuna mjinga mmoja alinisumbua sana nimtafutie mke,nikamtafutia,tukamsafirisha binti wa watu,kafika kule baada ya mwez jamaa ananiambia kapigiwa simu na mwanamke aliekuwa anampenda sana,sasa anashindwa afanyeje

Nilichoka,niliapa kwasasa siwez waanganisha watu katika ndoa,binti wa watu aloteseka mno mpaka nikataman nimrudishe nimuoe mimi
Kuna jamaa nilijichanganya nikamuunganusha, ila waliachana njiani, akaja kuoa aliemtafuta yeye, ebwanaa ningepata lawama sana, huyu jamaa anamatatizo kuasi ambacho kwamba km ningemtafutia mimi ningekua nabebeshwa lawama zote kwa upate wake na wa mke pia. Thanks God wanetafutana wenyewe
 
Hzo za kupigiwa simu na kulaumiwa na wote huwa zipo,ndo maana mimi nimeshasema sitaweza kuwaunganisha watu hata kama ni mwanangu akitaka kuoa au kuolewa

Mimi huwa nalaumiwa na jamaa na familia ya binti,binti mwenyew huwa hanilaumu
 
Kibaya zaidi ni kua huwa hatujui undani qa marafiki zetu, unadhani ni moral person, ila kwenye changamoto ndo utamjua uhalisia wake. We ulikua na nia njema kabisa ila mwishoe inakutokea puani
 
Huyo jamaa nilikuwa nae katika makuzi toka tukiwa wadogo,nakiri kweli tulipokuwa wadogo umri wa primary mpaka secondary alikuwa ni mkorofi sana na vitabia vya kipuuz puuz sana,lakin alipomaliza chuo nilibahatika kukaa nae nikaona kabadilika sana kawa mtu poa,sio mvivu kazi anajituma yaan yuko poa mpaka alipopata kazi tukawa tumeachana hvyo

Hata kile kibinti wakat nakichombeza nilikihakikishia kuwa jamaa ni mtu poa,kumbe ameshabadilika
 
Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.

She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.

My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Badili dini uoe mke wa pili mkuu. Unakwama wapi?
 
Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.

She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.

My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
kuna tofauti kati ya ndoa na mapenzi. Kwa wife tunza ndoa na kwa mchepuko piga kisha pita hivi usijetema big g kwa karanga za kuonjeshwa
 
“Soulmate” is just an excuse to lust after someone you're not married to, and an excuse to justify adultery… Mxieeeeww

If you are under the illusion that someone new you met could be your soulmate, the time you’re spending with them is inappropriate.. Also, you haven’t had to go through the day-to-day annoyances of bills and laundry and sickness and fussy babies and those kinds of things with the shiny new person..
Chances are, if you did, things would get stale with them, too, and you would end up repeating the same pattern and seeking out another soulmate..!
 
Wazuri ni wengi chagua mmoja fumba macho ishi nae,tafuta purpose ya kuwa nae yeye tuu, magonjwa na umaskini utaepuka.
 
Huyo jamaa nilikuwa nae katika makuzi toka tukiwa wadogo,nakiri kweli tulipokuwa wadogo umri wa primary mpaka secondary alikuwa ni mkorofi sana na vitabia vya kipuuz puuz sana,lakin alipomaliza chuo nilibahatika kukaa nae nikaona kabadilika sana kawa mtu poa,sio mvivu kazi anajituma yaan yuko poa mpaka alipopata kazi tukawa tumeachana hvyo

Hata kile kibinti wakat nakichombeza nilikihakikishia kuwa jamaa ni mtu poa,kumbe ameshabadilika
Asili haiootei, ulifeli sana kudhan amebadilika
 
“Soulmate” is just an excuse to lust after someone you're not married to, and an excuse to justify adultery… Mxieeeeww

If you are under the illusion that someone new you met could be your soulmate, the time you’re spending with them is inappropriate.. Also, you haven’t had to go through the day-to-day annoyances of bills and laundry and sickness and fussy babies and those kinds of things with the shiny new person..
Chances are, if you did, things would get stale with them, too, and you would end up repeating the same pattern and seeking out another soulmate..!
Denying the concept of soulmate is an excuse for those who have never found love in their lives, they don’t know it feels to meet someone special, i feel sorry for you.
 
Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.

She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.

My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Kazi ipo,man down.
 
Back
Top Bottom