miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
bora la kulia mara moja na kunyamaza ila kuna yale mateso ya miaka nenda miaka rudi, that is a tragedyHakika ndo ukweli...atalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora la kulia mara moja na kunyamaza ila kuna yale mateso ya miaka nenda miaka rudi, that is a tragedyHakika ndo ukweli...atalia
Aisee huyo mjinga huenda ni bro wangu kabisaKuna mjinga mmoja alinisumbua sana nimtafutie mke,nikamtafutia,tukamsafirisha binti wa watu,kafika kule baada ya mwez jamaa ananiambia kapigiwa simu na mwanamke aliekuwa anampenda sana,sasa anashindwa afanyeje
Nilichoka,niliapa kwasasa siwez waanganisha watu katika ndoa,binti wa watu aloteseka mno mpaka nikataman nimrudishe nimuoe mimi
Kuna jamaa nilijichanganya nikamuunganusha, ila waliachana njiani, akaja kuoa aliemtafuta yeye, ebwanaa ningepata lawama sana, huyu jamaa anamatatizo kuasi ambacho kwamba km ningemtafutia mimi ningekua nabebeshwa lawama zote kwa upate wake na wa mke pia. Thanks God wanetafutana wenyeweKuna mjinga mmoja alinisumbua sana nimtafutie mke,nikamtafutia,tukamsafirisha binti wa watu,kafika kule baada ya mwez jamaa ananiambia kapigiwa simu na mwanamke aliekuwa anampenda sana,sasa anashindwa afanyeje
Nilichoka,niliapa kwasasa siwez waanganisha watu katika ndoa,binti wa watu aloteseka mno mpaka nikataman nimrudishe nimuoe mimi
Hzo za kupigiwa simu na kulaumiwa na wote huwa zipo,ndo maana mimi nimeshasema sitaweza kuwaunganisha watu hata kama ni mwanangu akitaka kuoa au kuolewaKuna jamaa nilijichanganya nikamuunganusha, ila waliachana njiani, akaja kuoa aliemtafuta yeye, ebwanaa ningepata lawama sana, huyu jamaa anamatatizo kuasi ambacho kwamba km ningemtafutia mimi ningekua nabebeshwa lawama zote kwa upate wake na wa mke pia. Thanks God wanetafutana wenyewe
Kibaya zaidi ni kua huwa hatujui undani qa marafiki zetu, unadhani ni moral person, ila kwenye changamoto ndo utamjua uhalisia wake. We ulikua na nia njema kabisa ila mwishoe inakutokea puaniHzo za kupigiwa simu na kulaumiwa na wote huwa zipo,ndo maana mimi nimeshasema sitaweza kuwaunganisha watu hata kama ni mwanangu akitaka kuoa au kuolewa
Mimi huwa nalaumiwa na jamaa na familia ya binti,binti mwenyew huwa hanilaumu
Hatari sanabora la kulia mara moja na kunyamaza ila kuna yale mateso ya miaka nenda miaka rudi, that is a tragedy
Huyo jamaa nilikuwa nae katika makuzi toka tukiwa wadogo,nakiri kweli tulipokuwa wadogo umri wa primary mpaka secondary alikuwa ni mkorofi sana na vitabia vya kipuuz puuz sana,lakin alipomaliza chuo nilibahatika kukaa nae nikaona kabadilika sana kawa mtu poa,sio mvivu kazi anajituma yaan yuko poa mpaka alipopata kazi tukawa tumeachana hvyoKibaya zaidi ni kua huwa hatujui undani qa marafiki zetu, unadhani ni moral person, ila kwenye changamoto ndo utamjua uhalisia wake. We ulikua na nia njema kabisa ila mwishoe inakutokea puani
Badili dini uoe mke wa pili mkuu. Unakwama wapi?Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
kuna tofauti kati ya ndoa na mapenzi. Kwa wife tunza ndoa na kwa mchepuko piga kisha pita hivi usijetema big g kwa karanga za kuonjeshwaWanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Asili haiootei, ulifeli sana kudhan amebadilikaHuyo jamaa nilikuwa nae katika makuzi toka tukiwa wadogo,nakiri kweli tulipokuwa wadogo umri wa primary mpaka secondary alikuwa ni mkorofi sana na vitabia vya kipuuz puuz sana,lakin alipomaliza chuo nilibahatika kukaa nae nikaona kabadilika sana kawa mtu poa,sio mvivu kazi anajituma yaan yuko poa mpaka alipopata kazi tukawa tumeachana hvyo
Hata kile kibinti wakat nakichombeza nilikihakikishia kuwa jamaa ni mtu poa,kumbe ameshabadilika
Denying the concept of soulmate is an excuse for those who have never found love in their lives, they don’t know it feels to meet someone special, i feel sorry for you.“Soulmate” is just an excuse to lust after someone you're not married to, and an excuse to justify adultery… Mxieeeeww
If you are under the illusion that someone new you met could be your soulmate, the time you’re spending with them is inappropriate.. Also, you haven’t had to go through the day-to-day annoyances of bills and laundry and sickness and fussy babies and those kinds of things with the shiny new person..
Chances are, if you did, things would get stale with them, too, and you would end up repeating the same pattern and seeking out another soulmate..!
shuntama ndo limbwata?Mtu keshapigwa shuntama
Kazi ipo,man down.Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.