Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
We hifadhi tu maadam unapenda ligi dhidi ya gentlemen Tutakutana huko mahaliNaihifadhi hii comment tutakutana mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hifadhi tu maadam unapenda ligi dhidi ya gentlemen Tutakutana huko mahaliNaihifadhi hii comment tutakutana mahali
Wewe sio mzima ni wakuonewa huruma.Uwezo wa kunidhalilisha mimi huna sababu naongea reality na sidanganyi kama ww.Kama ulicho fanya ww.Wewe huna hoja endelea tu kuhangaika kutaka kujua maisha yangu, yani kwa akili yako unategemea humu jf nitaandika kila kitu cha ukweli kuhusu mimi ili iweje kwa mfano, na hata nikiandika uongo inahusiana vipi na hizi mada tunazojadili humu kila siku hebu nipe uhusiano nasisitiza hilo
Atii nachukia wanaume kwa kipi hasa mlichonacho wanaume hadi niwachukie hayo si yatakuwa matumizi mabaya ya chuki, infact wanaume wengi humu ndio wanachukia wanawake na sisi ndio tupo kudeal na wanaume wa aina hiyo ambao wanakemea maovu ya wanawake tu ila ya wanaume wanajifanya hawayaoni, ninyi tuiteni majina yote ila hatutaacha kuwapiga spana hadi mpanic muanze kufukua nyuzi za nyuma kama hivi ili kutafuta points bado hamjasema mpaka mseme na mtasema tu
Masikini umelalamika sana hadi nimekuonea huruma, basi ngoja nikuache tu walau ujifariji na hizo comments zangu za nyuma usije ukaanza kulia bure kisa umeshindwa hoja, maana nikiendelea kushusha magazeti nakuhakikishia utadhalilika na utaenda kufukua comments nyingine ili uendelee kujifariji na uonekane nawe una hoja
Naihifadhi hii comment tutakutana mahali
Aiseee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwa hivi walivyo kwahiyo mwanamke naye ni halali yake kuchepuka au hata kubambika watoto kwa sababu yeye ndiye anayefanya kazi za nyumbani pamoja na kuzaa na kulea watoto, maana sijaona uhusiano wa mwanaume kugharamika na kuchepuka yani mtu kutimiza majukumu yake ndio kunamhalalishia kufanya maovu sasa mwanaume asipogharamikia mahusiano anataka afanye jukumu gani lingine, kwahiyo kama mwanamke naye anagharamika ni haki yake kuchepuka sasa mbona hata kama wanawake wanagharamika wakichepuka bado mnawatukana kwamba ni malaya wakati nao wanatafuta pesa na mali kama nyie..halafu mkiambiwa umuhimu wenu kwa wanawake unazidi kupungua kila siku mnabisha yani mtu jukumu hilo pekee ulilonalo nalo unalitafutia sababu sasa unaenda kwenye maisha ya mwanamke kufanya nini kama siyo kuwa mzigo tu!!
Mwanamke kama unamtegemea mumeo akuhudumie kila kitu kama baba mwenye nyumba na uko chini kiuchumi kuliko mumeo. Basi tegemea wewe kuheshimu mumeo kuliko baba yako mzazi. Nipo Ujerumani , huku haki sawa ipo kuanzia uchumba mkienda out kila mtu analipa bill yake. Mkioana bill mnagawana nusu kwa nusu. Kama mke wangu Kala 45EUR na mimi nimekulia 55 EUR basi kila mtu analipa 50 EUR. Hayo maisha unayaweza ? Vile vile huku kuna ndoa za wanaume mabilionea na wake zao wa kushinda nyumbani. Hawa watu wanambato ma models na wanachukua likizo binafsi bali na familia na mke anakaa kimya. Ni wewe tu kuchagua maisha u nayotaka. Wanawake wengi wa Kiafrika walio-olewa Ulaya wanakumbuka nyumbani maana maisha ya 50-50 wanaona magumu. Wanaona bora wawe mama wa nyumbani na mume asimamie shoo muhimu. Huu ni mfano wa kate Middleton akiheshimu wakwe zake.Usishindane na mtu mwenye pesa. Kama unataka heshima na kusujudiwa tafuta hela mumeo atakuletea mauwa kila siku. Kama utaendelea kuwa feminist nakushauri achana na hela ya mwanaume yaani tafuta za kwako.Wewe huna hoja endelea tu kuhangaika kutaka kujua maisha yangu, yani kwa akili yako unategemea humu jf nitaandika kila kitu cha ukweli kuhusu mimi ili iweje kwa mfano, na hata nikiandika uongo inahusiana vipi na hizi mada tunazojadili humu kila siku hebu nipe uhusiano nasisitiza hilo
Atii nachukia wanaume kwa kipi hasa mlichonacho wanaume hadi niwachukie hayo si yatakuwa matumizi mabaya ya chuki, infact wanaume wengi humu ndio wanachukia wanawake na sisi ndio tupo kudeal na wanaume wa aina hiyo ambao wanakemea maovu ya wanawake tu ila ya wanaume wanajifanya hawayaoni, ninyi tuiteni majina yote ila hatutaacha kuwapiga spana hadi mpanic muanze kufukua nyuzi za nyuma kama hivi ili kutafuta points bado hamjasema mpaka mseme na mtasema tu
Masikini umelalamika sana hadi nimekuonea huruma, basi ngoja nikuache tu walau ujifariji na hizo comments zangu za nyuma usije ukaanza kulia bure kisa umeshindwa hoja, maana nikiendelea kushusha magazeti nakuhakikishia utadhalilika na utaenda kufukua comments nyingine ili uendelee kujifariji na uonekane nawe una hoja
Naihifadhi hii comment tutakutana mahali
Aiseee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwa hivi walivyo kwahiyo mwanamke naye ni halali yake kuchepuka au hata kubambika watoto kwa sababu yeye ndiye anayefanya kazi za nyumbani pamoja na kuzaa na kulea watoto, maana sijaona uhusiano wa mwanaume kugharamika na kuchepuka yani mtu kutimiza majukumu yake ndio kunamhalalishia kufanya maovu sasa mwanaume asipogharamikia mahusiano anataka afanye jukumu gani lingine, kwahiyo kama mwanamke naye anagharamika ni haki yake kuchepuka sasa mbona hata kama wanawake wanagharamika wakichepuka bado mnawatukana kwamba ni malaya wakati nao wanatafuta pesa na mali kama nyie..halafu mkiambiwa umuhimu wenu kwa wanawake unazidi kupungua kila siku mnabisha yani mtu jukumu hilo pekee ulilonalo nalo unalitafutia sababu sasa unaenda kwenye maisha ya mwanamke kufanya nini kama siyo kuwa mzigo tu!!
Huko hakufai kwakweli, hiyo sio ndoa hiyo ni business partnership, sasa hapo kama mwanume sauti unaitolea wapi?Mwanamke kama unamtegemea mumeo akuhudumie kila kitu kama baba mwenye nyumba na uko chini kiuchumi kuliko mumeo. Basi tegemea wewe kuheshimu mumeo kuliko baba yako mzazi. Nipo Ujerumani , huku haki sawa ipo kuanzia uchumba mkienda out kila mtu analipa bill yake. Mkioana bill mnagawana nusu kwa nusu. Kama mke wangu Kala 45EUR na mimi nimekulia 55 EUR basi kila mtu analipa 50 EUR. Hayo maisha unayaweza ? Vile vile huku kuna ndoa za wanaume mabilionea na wake zao wa kushinda nyumbani. Hawa watu wanambato ma models na wanachukua likizo binafsi bali na familia na mke anakaa kimya. Ni wewe tu kuchagua maisha u nayotaka. Wanawake wengi wa Kiafrika walio-olewa Ulaya wanakumbuka nyumbani maana maisha ya 50-50 wanaona magumu. Wanaona bora wawe mama wa nyumbani na mume asimamie shoo muhimu. Huu ni mfano wa kate Middleton akiheshimu wakwe zake.Usishindane na mtu mwenye pesa. Kama unataka heshima na kusujudiwa tafuta hela mumeo atakuletea mauwa kila siku. Kama utaendelea kuwa feminist nakushauri achana na hela ya mwanaume yaani tafuta za kwako.
🤣🤣🤣🤭soulmate ya nyoko 😂
🤣🤣How old are u?? We ni mwanaume au mvulana?? Hauko kwenye right state utakua na shida kidogo au Kuna stage kwenye mahusiano ulivuka
😀😀😀 Nimecheka sana. Lol.Muweke hapo ndani mpumuliane mwezi hivi ndio ujue ni soulmate au Batamet
AIseee hata mimi nimecheka sana😂Aisee nimeishia kucheka tu
Natamani nikusomee kifungu Cha Biblia kwenye kitabu Cha Yakobo.Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Unadham laana zinafika kirahisi hivyo? Wengi wangeshakufa. Take it easy.Natamani nikusomee kifungu Cha Biblia kwenye kitabu Cha Yakobo.
Ila kwanza nianze kusema Usaliti mwisho wake ni maangamizi na kifo/kifo Cha ndoa Yako. Kile kiapo ulikula na ahadi ulizomuwekea mkeo Leo unamwona Hana thamani IPO siku soulmate pia utamwona Hivyo.
SawaWe hifadhi tu maadam unapenda ligi dhidi ya gentlemen Tutakutana huko mahali
Mimi kudanganya kuhusu maisha yangu kunahusiana nini na hii mada inayohusu jamii kwa ujumla hebu jibu hayo maswali acha kukwepa hoja, endelea kushusha hayo magazeti yako ili nikudhalilishe ijulikane nani mweupe kichwani, mbona umekimbia mada umejificha kwenye kichaka cha hiyo comment yangu kama kweli unajiamini una hoja si urudi kwenye mada au vipiWewe sio mzima ni wakuonewa huruma.Uwezo wa kunidhalilisha mimi huna sababu naongea reality na sidanganyi kama ww.Kama ulicho fanya ww.
Oohh kwahiyo hiyo kwa mujibu wa hiyo kanuni yako ni kwamba siku baba akitetereka kiuchumi, na mama akalazimika kusukuma gurudumu mpaka baba atakapokaa sawa, maana yake kwa kipindi hicho baba atatakiwa kumtii mama si ndioMwanamke kama unamtegemea mumeo akuhudumie kila kitu kama baba mwenye nyumba na uko chini kiuchumi kuliko mumeo. Basi tegemea wewe kuheshimu mumeo kuliko baba yako mzazi. Nipo Ujerumani , huku haki sawa ipo kuanzia uchumba mkienda out kila mtu analipa bill yake. Mkioana bill mnagawana nusu kwa nusu. Kama mke wangu Kala 45EUR na mimi nimekulia 55 EUR basi kila mtu analipa 50 EUR. Hayo maisha unayaweza ? Vile vile huku kuna ndoa za wanaume mabilionea na wake zao wa kushinda nyumbani. Hawa watu wanambato ma models na wanachukua likizo binafsi bali na familia na mke anakaa kimya. Ni wewe tu kuchagua maisha u nayotaka. Wanawake wengi wa Kiafrika walio-olewa Ulaya wanakumbuka nyumbani maana maisha ya 50-50 wanaona magumu. Wanaona bora wawe mama wa nyumbani na mume asimamie shoo muhimu. Huu ni mfano wa kate Middleton akiheshimu wakwe zake.Usishindane na mtu mwenye pesa. Kama unataka heshima na kusujudiwa tafuta hela mumeo atakuletea mauwa kila siku. Kama utaendelea kuwa feminist nakushauri achana na hela ya mwanaume yaani tafuta za kwako.
Una ndoa ya miaka 25....... ?😀😀😀Sawa
Mimi kudanganya kuhusu maisha yangu kunahusiana nini na hii mada inayohusu jamii kwa ujumla hebu jibu hayo maswali acha kukwepa hoja, endelea kushusha hayo magazeti yako ili nikudhalilishe ijulikane nani mweupe kichwani, mbona umekimbia mada umejificha kwenye kichaka cha hiyo comment yangu kama kweli unajiamini una hoja si urudi kwenye mada au vipi
Oohh kwahiyo hiyo kwa mujibu wa hiyo kanuni yako ni kwamba siku baba akitetereka kiuchumi, na mama akalazimika kusukuma gurudumu mpaka baba atakapokaa sawa, maana yake kwa kipindi hicho baba atatakiwa kumtii mama si ndio
By the way unasahau kwamba huko kwa wenzetu mke hawajibiki kumtii mume na hakuna mgawanyo wa majukumu yeyote ana wajibu wa kufanya jukumu lolote, kwahiyo huko 50/50 haipo kwenye kulipa bills tu bali ipo hadi kwenye kazi za nyumbani na malezi ya watoto, na kama mnaweka housemaid yeye ndio atafanya majukumu yote ya nyumbani ili mume na mke wasaidiane majukumu ya kiuchumi tu
Na hutasikia mwanaume akilalamika kuwa eti mke wake kajisahau kazi zote kamuachia dada na wala hawafikii hatua ya kutembea na hao wadada kwa sababu hiyo, lakini huku afrika ambako hadi leo wanaume wanapenda kunyenyekewa, kupikiwa na kufuliwa na wake zao na wanaona kwamba kazi za nyumbani haziwahusu kabisa
Msitegemee wanawake wataikubali hiyo 50/50 ya kwenye kulipa bills kwa sababu hata ninyi hamuwasaidii majukumu yao, kwahiyo msiwalaumu kwamba hawawezi kuwasaidia yenu siku mtakapokubali kuacha kupenda kunyenyekewa, na mtakapokubali kuyachukulia majukumu ya nyumbani na malezi ya watoto kama wajibu wenu
Basi nawahakikishia hata wanawake nao wataanza kulichukulia serious hilo suala la kulipa bills 50/50, yani kwa kifupi hiyo 50/50 isiwe applicable kwenye majukumu ya mwanaume tu bali hata ya mwanamke pia kama huko kwa wazungu, ila tatizo linakuja wanaume ndio hamko tayari kufanya majukumu ya wanawake yani unataka wewe ufanye majukumu yako tu ila mwanamke afanye majukumu yako pamoja na yake hapo ndipo wanawake wanapogoma
Niliwai kua kwenye Hali Kama yako Kama ni muislamu ongeza mke wa pili Ila Kama ni mkristo acha matamanio yako ya kimwili maana ndoa ni moja ya mke mmoja..Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Hebu kurupua hizo threads sasa hivi nione hayo uliyokuwa unanielekeza hadi nikawa najikanyaga, ila naomba tu usije ukakwepa hoja ukakimbia mada au kuniita mbishi na wala usije ukaanza kuleta personal attacks, naomba unapoleta hizo threads tujadili mada husika tu na siyo maisha yangu binafsi au chochote kisichohusiana na madaUna ndoa ya miaka 25....... ?😀😀😀
Utanifanya ni kurupue thread za nyuma,nilizokuwa na kuelekeza ww........ unajikanyaga kanyaga na kuongopa mpaka hujui ulisema nini.
Sasa na usafi wako lakini unasoma uchafu! We mchafu tu kama mikono yangu tu inayotype, shenziUnamdomo mchafu sana, nakufatilia tu.