sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Labda wachaga napo ni kwa mbali sanaaa kulinganisha na hawa wageni.Wachaga wana huu utaratibu na Wakinga nahisi Ila makabila mengine sijui nani aliwaroga, makabila mengine familia zimejaa ubinafsi tu
Wakinga bado sana hao, labda ni zile kelele tu kutaka nao wajulikane wapo lakini kimaendeleo bado sana, Picha linaanza hata huko kwao Makete maendeleo ni duni, nyumba za nyasi kibao, barabara za vumbi, hakuna maji ya bomba, elimu ni shida, n.k.