sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #21
Labda wachaga napo ni kwa mbali sanaaa kulinganisha na hawa wageni.Wachaga wana huu utaratibu na Wakinga nahisi Ila makabila mengine sijui nani aliwaroga, makabila mengine familia zimejaa ubinafsi tu
Nikuulize swaliAliekudanya nani mkuu, mimi hao watu nimeishi nao sana shuleni kwa miaka saba, Kinadharia kwa uraia ni wenzetu ila kwa uhalisia bado ni wageni.
wanaishi kwa tamaduni za kiarabu na kihindi na sio za kitanzania, huji kuona mhindi ama muarabu kavaa hata kitenge, ni wenzetu hao ?
wanaoleana wao kwa wao, Kwa waarabu hata uwe mpemba ama msomali wao hukuona bado mwafrika huwezi kupewa binti yao labda uwe na mtu mzito sana, kwa wahindi sahau kabisa, ni wenzetu hao ?
Shughuli za kijamii iwe misiba ama sherehe huwa wanashiriki zao, ni wenzetu hao ?
Umenyooshaaa mkuu...Wachaga wana huu utaratibu na Wakinga nahisi Ila makabila mengine sijui nani aliwaroga, makabila mengine familia zimejaa ubinafsi tu
Ndio nimekwambia wachaga hawa jamaa wanajua kunyanyuana kudadadek wachaga, kuna jamaa alivutwa Dar akaja kushika duka ili na yeye ajikusanye afungue duka ndani ya mwaka tu na yeye akafungua duka pale alipofungua akaita kijana mwingine akaja nae ndani ya mwaka akafungua duka la kwake, rotation inaendelea hivyo yaaniLabda wachaga napo ni kwa mbali sanaaa kulinganisha na hawa wageni.
Wakinga bado sana hao, hata uwaweke kundi moja na waha ni sawa tu, labda ni zile kelele tu kutaka nao wajulikane wapo lakini kimaendeleo bado sana, Picha linaanza hata huko kwao Makete maendeleo ni duni, nyumba za nyasi kibao, barabara za vumbi, hakuna maji ya bomba, elimu ni shida, n.k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaaaaaa cjui hata nimechekaa nn mkuu..RIP Mzee Dr Machache mapenzi na kahaba yamekuponza kmmk
Hapo labda kwa wachaga napo ni wachache sanaaaa!!, Hao wakinga wengi nimeishi nao , wana fikra za KILA MTU AJITAFUTIE CHA KWAKE, na hii ndio inasababisha biashara nyingi sana kuvurugika baba akifariki, Nina rafiki mkinga nilisoma nae hizo shule ila Baba alipofariki akahamishiwa shule za serikali na hapo tayari alikuwa na kaka zake wenye miaka 20 hukoHilo pia linafanywa sana na wachaga na wakinga, anaanza kumfundisha mtoto biashara tangu akiwa mdogo.
Ndio hivyo yaan mijitu imejaa Ubinafsi wa kufa mtu haijui kunyanyua wenzao yeye anataka aonekane yeye tu ndio mwenye kipato siku akidondoka hata watoto wake hawawezi kuendeleza alipoishia wakati ndugu zangu wachaga wananyanyuana wao kwa wao na wanapeana support nomarawa,Umenyooshaaa mkuu...
Ubinafsi,ubinafsiii umetujaa ..
Mtu Kwenye familia anapesa lkn kusupport hata wadogo zake mtaji n shidaa..
Anatakaa aonekanee kwenyee ukoo yy pekee ndio tajirii[emoji23][emoji23][emoji23]
Waswahili Dunia nzima wapo hivyo hawapendaniNgozi nyeusi inalelewa kwa misingi ya ubinafsi, baba anayo nyumba ila mtoto akikua anaambiwa au anaamua mwenyewe akajitegemee anaenda kuanza 1 wakati hiyo pesa anayoenda kununua kitanda,godoro,kiwanja kujenga nyumba angeiwekeza kwenye biashara ambayo anauzoefu nayo baada ya miaka kadhaa angekua kapiga hatua .
ila wanaishi kwenye circle hiyohiyo ya kufika umri flan anaenda kulipa kodi kununua godoro kujenga kazeeka tayari, mtoto wake nae anarudia ujinga huohuo wajukuu hivyohivyo, akili ya biashara hamna akiajiriwa ye ndo anaonekana katoboa.
Ajalewaa mkuu semaa ujamwelewaa tu alivyotukanaa [emoji23][emoji23][emoji23]kutukana kwake anamaanishaa huo udokta ulionao uliendaa shulee kusomea ujingaa [emoji23]..Kwa kutokuamini kwako hakuna watu wanaingiza billion faida Kwa mwezii,,.....ilangali Kuna makampuni kibao tu hayo hayo ya waindi kuingiza hyo b kitu Cha kawaidaaa,,Mkuu umelewa? Pumzika, kesho nayo siku.
Ww achaa tu mkuu .,Ndio hivyo yaan mijitu imejaa Ubinafsi wa kufa mtu haijui kunyanyua wenzao yeye anataka aonekane yeye tu ndio mwenye kipato siku akidondoka hata watoto wake hawawezi kuendeleza alipoishia wakati ndugu zangu wachaga wananyanyuana wao kwa wao na wanapeana support nomarawa,
Ndio hivyo yaan mijitu imejaa Ubinafsi wa kufa mtu haijui kunyanyua wenzao yeye anataka aonekane yeye tu ndio mwenye kipato siku akidondoka hata watoto wake hawawezi kuendeleza alipoishia wakati ndugu zangu wachaga wananyanyuana wao kwa wao na wanapeana support nomarawa,
Sijakuelewa we unaishi Nchi gani? Sio ndugu Bali kabila moja ndio nini?Wachaga sio kwamba wananyuana ndugu Bali jamii moja mfano angalia maduka Mengi ya wachaga wale sio. Ndugu Bali kabila moja
Mbantu akunyanyue eti kisa we nindugu yake thubutu wachache mno Sana.
Unaelewa maana ya Billion? Unatengeneza hiyo faida kwa Mtaji wa kiasi gani? Sikatai yapo makampuni yanatengeneza zaidi ya hiyo pesa monthly.Ajalewaa mkuu semaa ujamwelewaa tu alivyotukanaa [emoji23][emoji23][emoji23]kutukana kwake anamaanishaa huo udokta ulionao uliendaa shulee kusomea ujingaa [emoji23]..Kwa kutokuamini kwako hakuna watu wanaingiza billion faida Kwa mwezii,,.....ilangali Kuna makampuni kibao tu hayo hayo ya waindi kuingiza hyo b kitu Cha kawaidaaa,,
Dr Kuna watu wamewekezaaa mpk htr....
Ngoja jobless Mimi nijaribu,🤒Kama haujalala weka wasafi fm 88:9 wanapiga old school Kali Sana yaani nimelala hapa kwenye kapeti MAISHA Makubwa Sana plus mzuka so ukiendelea kuperuzi tune wasafi hautojuta
Kama upo DSM lala kwanza chini vitanda vyamoto Sana washa Ac au feni Kuanzia no 2-3 then tune wasafi wanapiga ngoma Kali Sana hakika diamond peponi moja kwa moja🙌Ngoja jobless Mimi nijaribu,🤒