Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Kweli, Yaani wale wanaenda shule wajue kusoma/hesabu basi,wakimaliza darasa la saba wanaoendelea sekondari ni baadhi tena kumaliza kidato cha nne ni nadra,,,wanakabidhiwa mke na biashara[emoji23],

coz wenyewe baba alivyofariki aliacha duka kubwa sana, sasa mama nae alishatukatazaga kuingia dukani kuuza eti tutaiba,

Sasa si akamtafuta ndugu yake kijana auzage[emoji23], viliendelea basi!!,

Sasa na mie nilivyo mkuda majuzi hapa nikamuuliza swali korofi, (hivi mama kwanini ulishawishika kumuweka mtu auze duka na ??) Kwanza hata hakunijibu,
Uka mdiss mama ako🤔🤣😆
 
Alafu yakitokea ya kutokea anakuambia ujiajiri wakati hakuna msingi aliokuwekea tofauti na elimu ya darasani 😃
 
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.

Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao tu, nikiri wazi waarabu tulikuwa tunawaburuza "Sio Kitoto", uwezo wao ulikuwa mdogo mnooo, lakini leo hii sio wenzetu hata kidogo, ni story tu za kujuana nao lakini kimaisha tumepigwa gepu sio kitoto.

Wahindi angalau kulikuwa na upinzani ila tulikuwa tunaburuzana sana tu, vipanga wa kibongo waliburuzana na vipanga wa kihindi, huku wa kati nao walikuwepo tuliburuzana nao man to man, wengi wamesoma mpaka vyuoni lakini wanatumia elimu zao kwenye biashara zao hapa hapa Tz.

Tukija kwa upande wetu wabongo hali inatia huruma, tumesoma mpaka vyuoni + masters, mtu kapigiwa koneksheni na ndugu ama wazazi ama kapata ajira kivyake mshahra + posho vyote kwa jumla ni milioni 3 kwa mwezi yani hapo akiwa na gari na nyumba anaridhika kabisa cha kuwaza labda kuongeza mchepuko ama kuwahi viti virefu baada ya kazi, kwa wale wanaofanya biashara unakuta mtu akiingiza faida milioni around 8 kwa mwezi anajiona tayari mwamba.

Wenzetu hawa hawa tuliosoma nao suala la kuajiriwa hawataki kulisikia kabisa kwenye nchi hii, kuna muhindi moja aliniambia " Nchi hii ina untapped resources and oppurtunities kibao, hata elimu ya standard 7 inatosha kukutajirisha, Forest imejaa carrots ni wewe utaamua uwe punda ama mkulima" Sio siri nilihisi nimetupiwa dongo.

yani wao wanaunganisba nguvu kwenye timu zao (familia), kwa mwezi kulaza B na kuendelea ni kawaida.

MAPENDEKEZO

Nawajua matajiri wa hapa Tanzania wanataka watoto hawana exposure kabisa,yani mtoto maisha yake yote kasome Tz, matokeo yake mtoto anakuwa na akili za hapa hapa hata lugha inampiga chenga, hajui kumingle wala hana connections za watu wa mataifa mengine.

fikra za 'KILA MTU AJITAFUTIE CHAKE' zimepitwa na wakati, unakuta tajiri anasubiria mpaka mtoto wake afikie miaka 25 ndio anampa mtaji akajitafutie chake, tena mtaji wenyewe unakuta ni milioni 20 wakati baba ni bilionea, NI UPUUZI!! hii ndio sababu kubwa biashara nyingi zinaanguka baba akifariki sababu watoto hawajui kuziendeleza, ukiona wenzetu mtoto hasubiriwi mpaka awe mkubwa, ni tangu akiwa mdogo anazoeshwa biashara maana hata kwa akili ya kawaida ukiwa na paka ama mbwa mdogo unaweza kumfunza vingi akiwa bado mdogo kuliko ukubwani, na hata mtoto akiwa mkubwa anaendeleza ama ku expand biashara za familia, hata baba akifariki biashara zinaendelea bila tatizo.
Angalau wachaga wana talanta hyo
 
Itawachukua generation 4 au tano kufika huko labda kwa elimu na kufanya kazi zenye malipo makubwa lakini kwa biashara ni wachache sana

Huu sio mfano bali ni ukweli yaani wachache sana kufika mbali
Ni kupambana na kuweka akiba kubwa ili kuendeleza biashara idumu na ikuwe kwa miaka na miaka hata wajukuu waje kuikuta
Nashukru KWA mchango wako .....naungana na ww
 
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.

Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao tu, nikiri wazi waarabu tulikuwa tunawaburuza "Sio Kitoto", uwezo wao ulikuwa mdogo mnooo, lakini leo hii sio wenzetu hata kidogo, ni story tu za kujuana nao lakini kimaisha tumepigwa gepu sio kitoto.

Wahindi angalau kulikuwa na upinzani ila tulikuwa tunaburuzana sana tu, vipanga wa kibongo waliburuzana na vipanga wa kihindi, huku wa kati nao walikuwepo tuliburuzana nao man to man, wengi wamesoma mpaka vyuoni lakini wanatumia elimu zao kwenye biashara zao hapa hapa Tz.

Tukija kwa upande wetu wabongo hali inatia huruma, tumesoma mpaka vyuoni + masters, mtu kapigiwa koneksheni na ndugu ama wazazi ama kapata ajira kivyake mshahra + posho vyote kwa jumla ni milioni 3 kwa mwezi yani hapo akiwa na gari na nyumba anaridhika kabisa cha kuwaza labda kuongeza mchepuko ama kuwahi viti virefu baada ya kazi, kwa wale wanaofanya biashara unakuta mtu akiingiza faida milioni around 8 kwa mwezi anajiona tayari mwamba.

Wenzetu hawa hawa tuliosoma nao suala la kuajiriwa hawataki kulisikia kabisa kwenye nchi hii, kuna muhindi moja aliniambia " Nchi hii ina untapped resources and oppurtunities kibao, hata elimu ya standard 7 inatosha kukutajirisha, Forest imejaa carrots ni wewe utaamua uwe punda ama mkulima" Sio siri nilihisi nimetupiwa dongo.

yani wao wanaunganisba nguvu kwenye timu zao (familia), kwa mwezi kulaza B na kuendelea ni kawaida.

MAPENDEKEZO

Nawajua matajiri wa hapa Tanzania wanataka watoto hawana exposure kabisa,yani mtoto maisha yake yote kasome Tz, matokeo yake mtoto anakuwa na akili za hapa hapa hata lugha inampiga chenga, hajui kumingle wala hana connections za watu wa mataifa mengine.

Fikra za 'KILA MTU AJITAFUTIE CHAKE' zimepitwa na wakati, unakuta tajiri anasubiria mpaka mtoto wake afikie miaka 25 ndio anampa mtaji akajitafutie chake, tena mtaji wenyewe unakuta ni milioni 20 wakati baba ni bilionea, NI UPUUZI!! hii ndio sababu kubwa biashara nyingi zinaanguka baba akifariki sababu watoto hawajui kuziendeleza, ukiona wenzetu mtoto hasubiriwi mpaka awe mkubwa, ni tangu akiwa mdogo anazoeshwa biashara maana hata kwa akili ya kawaida ukiwa na paka ama mbwa mdogo unaweza kumfunza vingi akiwa bado mdogo kuliko ukubwani, na hata mtoto akiwa mkubwa anaendeleza ama ku expand biashara za familia, hata baba akifariki biashara zinaendelea bila tatizo.
Tungekuwa mbali Kama tungeiga Wahindi. Tangu mtoto weekend anabaki kwenye biashara
 
Wazazi Watanzania ambao wamefanikiwa ni waoga sana kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ya kibiashara iliyofanya wafanikiwe tofauti na wenzetu wenye asili ya Asia (Waarabu na Wahindi)

Nikupe mfano utakuta baba alikuwa mkulima mzuri sana, mkubwa na mwenye mafanikio hata watoto wake kawasomesha kupitia hiko kilimo

Cha ajabu akiwasomesha watoto wake haukuti anawasomesha waje waendeleze biashara hiyo ya familia waje na idea mpya. Watoto watasoma waje kuajiriwa, baba umri ukienda (uzee) au kifo na biashara ya kilimo inakufa

Watanzania tunakosa kujiamini sana kuendeleza biashara za kifamilia. Tunapenda sana kuajiriwa. Wenzetu wanatengeneza brands
 
chukua tu mfano wa shabiby, mababu na mababu wamekuja na kazaliwa na kukulia kijiji na gairo pale, amefanikiwa watu wanamwona mwarabu wakati kachanganya na wagogo sijui watu gani huko na wazazi wao wamekuja miaka mingi kuliko hata wabantu wengine. wabantu hii nchi tumehamia tu toka nchi zingine na wengi wamekuja baada ya waarabu na wahindi kuwa wameshakuja tayari.sisi sote ni wahamiaji.
Ombwe la historia, udini udini. Tabia za kitumwa(slavery trauma) bado zinatuandama.
Ujinga ujinga na ujuaji usio wa kimaarifa
Watanzania wengi wanajifanya wanajua mambo kumbe empty, ndio maana tunafeli mambo mengi kwa kukosa weledi.
Waafrika weusi tulichbakiza ni kulalamika tu.
Hao wahindi na warabu hawatuzuii sisi kuwa matajiri ila wakitajirika tunawachukia.
 
Umenyooshaaa mkuu...

Ubinafsi,ubinafsiii umetujaa ..

Mtu Kwenye familia anapesa lkn kusupport hata wadogo zake mtaji n shidaa..

Anatakaa aonekanee kwenyee ukoo yy pekee ndio tajirii[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongeleaje hili la kumpa mdogo wako mtaji,anakula unaisha anarudi kwenye foleni ya kukupiga mizinga
 
Wakati wao wanaumiza vichwa kutafuta njia ya kupata,wewe uko bize unawaza kula tunda kimasihara na kusaka papuchi. Si ndo hivo?

Af,wao wana ushilikiano mkubwa. Huku ngozi nyeusi,kila mmoja anaona ndugu akifanikiwa ni hasara kwake sasa.
 
Watu hawajui historia mkuu.Warabu tumesoma kuwa walianza kija karne ya 7 na kuanza kuanzisha miji.
Warabu ni watu wa wazamani sana hapa Afrika na wameoana na watu weusi kwa miaka mingi sana.
Sudani kaskazini ni warabu weusi tii. Walikuja lini? Wabantu tunejipa umiliki wa bara la Afrika kitu ambacho sio kweli.
Tushukuru mungu tu kuwa hao warabu hawakutumaliza kwa hila ila kama walivyomalizwa wahindi huko USA. wamesambaa sana bara la Afrika na kuwa sehemu ya Afrika.
Misri ilikuwa nchi ya watu weusi wakaja warabu wakamuondia mtu mweusi wakaka wao mpaka leo hakuna mtu mweusi anaweza sema ni nchi yake.
Kimsingi tuishi nao tu kama wenzetu maana hata uwezo wa kuwafukuza hatuna japo wameshikilia utajir wa TZ.
Kama mwarabu alikuja Africa huyo mtu mweusi alikuja kutokea wapi ?

Kihistoria binadamu wa kwanza duniani kaishi Africa tena ni mweusi unasemaje mwarabu ana muda mrefu Africa kuliko mtu mweusi

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom