CopeHuwa inaitwa post-nut clarity. Dogo mmoja kule Canada alikata shauri kukomiti suisaidi. Na njia nzuri aliyoichagua ni kwenda kujilaza kwenye njia ya treni ya mizigo. Kaenda vizuri tu majira ya saa tatu hivi asubuhi wakati treni huwa inapita saa 3 na nusu. Wakati anasubiri akaamua kuungurumisha punyeto la kuagia. Anasema siku ile alisikia utamu usio wa kawaida; na akaghairisha kabisa mpango wake wa kujiua. Alimpigia simu mpenzi wake akaja kumchukua na gari wakarudi nyumbani. Na aliapa kwamba hatakuja kujaribu kujiua tena.
Huu, nadhani, ndiyo mfano bora kabisa wa post nut clarity. Achana na ile mtu unamaliza halafu unaona kinyaa na majuto. Wakati mwingine hata huyo uliyekuwa unampelekea moto unamuona kama kinyago tu ๐๐ถ๐ฟโโ๏ธ
Ukishamgonga utamuona wa kawaida tuu na mwizo wa mwezi ana bleed kama wale wenye sura mbayaWanaume mnaohonga endeleeni kuhonga asee ni haki yenu kuna mshkaji nilimwambia akasema kuna wanawake wazuri zaidi yake eti huyu hafui dafu ๐คฃ๐คฃ eeeh acha nimtukane
Universal beauty au sioo...ila ukisha wagegeda u,uri unapungua mara tako limepindaMkuu kuna wanawake ni wazuri bana ukweli usemwe
Age yako pls?Aah kutongoza sijui kama ntaweza ni mzuri balaa namuogopa ๐ถ
Naomba jina la hiyo ofisi na mimi nikawatembeleeWakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo uende sehemu zingine za ofisi
Wakuu mimi ni mtu ambae huwa sishtushwi na wanawake wazuri hovyo hovyo ila kwa huyu nimenyoosha mikono yaani ana hiyo sura ambayo unaweza kuombea mkopo kabisa, ngozi nzuri, shape nzuri, female dimorphism nzuri isitoshe ni mweusi yaani nusu nidondoke uzuri nilijikaza ๐๐
Posta kuna wanawake wazuri asee hii ofisi lazima nirudi tena kuna wanawake wazuri duniani Mwenyezi Mungu ni fundi najua competition ni kubwa ila lazima nijiweke hapo no way
Mfungo mwema ๐๏ธ
Mkuu, nakuomba unitajie hiyo ofisi inbox walau nikajiulizishe kitu ili nimuone nithibitishe uono wa macho yako.Babu demu mzuri asee unadhani hadi nimemuanzishia thread ni cha mtoto!
Daaah! Mkuu umenijibu kikatili sana nimejisikia vibaya kuninyima hata kumuona tu shem wangu mtarajiwa ๐Hapana asee hadi nimle alafu ofisi yenyewe sio kubwa hivyo tulia
We si ni mwanamme wa Dar, nitakununulia chips yai na Energy drink.Weeee umchukue mahi wangu thubutu
Alafu kuna wanaume wanaleft group, kuna pisi ni kali kalioNa Bado Kuna mtu anasema utapeli ๐น๐น๐น
Ila masecretary wengi hapa mjini hawako salama kiafyaHapana asee hadi nimle alafu ofisi yenyewe sio kubwa hivyo tulia
Mkuu wangu just kumuona tu wala simsemeshi wala simuangalii mara mbili ni mara moja tu tena sekunde 2 tu naondoka sirudi tena mkuuThubutu!! Na wewe tafuta chaka lako!
Sawa kalio ๐น๐๐พAlafu kuna wanaume wanaleft group, kuna pisi ni kali kalio