Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Kuna pisi fulani hivi inafanya kampuni fulani huko dasalama.
Rangi yangu pendwa kabisa(chocolate)
Imepanda hewani.
Nyash ipo ya kutosha kabisa.
Shepu ya kwenda guu limenona haswa.
Kichwani short hair 🙆🏾‍♂🙆🏾
Sura ndio usiseme.
Anajua kuvaa na kupendeza sana.
Kila nikikutana nae lazima nimpe maua yake, ile mama ni kali sana.

Kwenye ukweli huwa nasema japo sina interest nae.

Ntawatajia jina la kampuni anayofanya siku nyingine mnikumbushe ila kwa waunga dots anafanya kampuni ina jina la baa fulani huko Tabata. Kazi kwenu walevi kutoa jina la baa.
 
Thread ya kijinga Sanaa aiseee
 
Ntakukumbusha tukamuone tukienda dar😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…