Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
36,315
Reaction score
104,500
Habari wadau,

Kama unapenda kutumia AI kama ChatGPT kuandika kazi, kutafuta majibu au kupata idea, nimekutana na website mpya inaitwa Bongo Sand.

Inafanya kazi kama ChatGPT tu, unauliza swali inakujibu. Interface yake ni rahisi na inafunguka haraka hata kwa simu ndogo.

Mimi nimeijaribu kidogo, inajibu Kiswahili vizuri.

Wale mtakaoijaribu mtoe review yenu hapa - inafaa au bado ChatGPT bado mfalme?

Mnaonaje wadau?
 
Hamna Kitu Zote...Akili Ya Mwanadamu Itabakiaa Pale Pale Aseee
 
Ni language model?
 
Hizi programu huko mbeleni zitakuwa nyingi sana, hata mimi baadae naweza kuja kuwa na programu yangu, sasa hivi naenda mdo mdo na programing.
 
Mimi pia nina interest sana na hizi mambo, hapa nikirudi mtaani nafungua kipc changu naanza kufanya mambo yangu, maana nikikaa idle hivi naanza kuwaza mbususu tu๐Ÿ˜ƒ
Duhh unaanzaje sasa au kuna vichochezi? Bora ukomae na pc yako uanzisha kitu cha kukufaidisha mbeleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ