Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Oct 30, 2026 Thread starter #41 Mme Mwenza said: kwanza huwa najiulza sana.. hvi Mungu alituumbia msaidiz wanin kuja kula cha mwanaume au tushirikiane? Click to expand... Ni kusaidiwa kula chako mzee baba! Hatujaumbiwa shida siye💃🏽 Mme Mwenza said: maana kunavidada vimeshajiwekea kiwango cha mahari na na standard ya mwanaume anaemtaka awe na mali Click to expand... Si ndio, maisha ni kuoanga na kuchagua! Huku kwetu mahari wanapanga wajomba!
Mme Mwenza said: kwanza huwa najiulza sana.. hvi Mungu alituumbia msaidiz wanin kuja kula cha mwanaume au tushirikiane? Click to expand... Ni kusaidiwa kula chako mzee baba! Hatujaumbiwa shida siye💃🏽 Mme Mwenza said: maana kunavidada vimeshajiwekea kiwango cha mahari na na standard ya mwanaume anaemtaka awe na mali Click to expand... Si ndio, maisha ni kuoanga na kuchagua! Huku kwetu mahari wanapanga wajomba!
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Oct 30, 2026 Thread starter #42 Harmful said: Kwamba hiyo AI imetengenezwa na wabongo ? Click to expand... Ndio harmful