Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu πŸ˜’

Binti wa zamani..
Huyo anakutaka
 
Namuita mkuu wa kikosi Secretarybird pamoja na Mbaga Jr
tunaomba tukifika uvae nguo ndefu kinyume chake kikosi kinaishia kwako@Binti wa zamani
Kwa uchunguzi makali nilioufanya kwa kushirikiana na jasusi ELI COHEN nimebaini kuwa huyu Mzee aliyekuwa akikuzoom kutoka ghorofani kwa binocular alikuwa mpiga chabo.

Tumegundua kuwa wakati anakuangalia alikuwa na kilainishi ambacho angekitumia kuukwea mnazi wake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekupata officer bird, upo sahihi.

OVAAAAA
 
Binoculars zilizo nyingi hazioni usiku
Zipo chache ambazo zinaona usiku ila sijawahi kuona zikiuzwa hapa Nchini...pengine mtu aagize nje ya Nchi.
hata hivyo Binoculas haina uwezo wa kuona ndani ya nyumba kama umeweka pazia
Kwa ulivyosema kuwa huyo mzee, wala hakushtuka; inaonesha pengine hakuwa na nia mbaya.
Mimi pia nina kibinocular changu kidogo, na mara chache chache huwa nachungulia tu hovyohovyo, hivyo nitakuwa makini Jirani asije kufungua pazia akaniona nachungulia akafikiri napiga chabo...kumbe wala hakioni huko kwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…