Nimekuwa addicted na kitimoto, Je kuna madhara kiafya?

Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Hakuna madhara yoyote mama. Kula uwezavyo.

Kitimoto ni nyama kama nyama nyingine.

Mimi mwenyewe nimetoka kuipiga sio muda mrefu. Nimepiga kavu, kachumbari na kaugali laini kadogo kwa mbali, sasa nimejilaza tu😂
 
Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Kitimoto ni mnyama MTAKATIFU kuliko wote. Endelea kuipokea Baraka na upako wa utamu wa kitimoto.

Hata Simba walipewa Zawadi ya kitimoto, aiseee, mzuka sana
 
Wew doctor ama?
Kitimoto ni chanzo cha protein yenye ubora wa hali ya juu.

Pia ina virutubisho vizuri na vingi vya vitamin B (hasa B6 na B12) na madini ya chuma, zinc na selenium yanayosaidia kuwa na mifupa imara, mfumo bora wa kingamwili na kusaidia ukuaji mzuri wa seli.

Inaongeza pia nguvu za kiume kwa kuleta mzunguko mzuri wa damu. Na kadhalika.
 
Sasa wewe unaweza kuwaloga wabongo nenda taratibu.
 
Back
Top Bottom