Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kwani yeye rasta?Kula Mboga Mboga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye rasta?Kula Mboga Mboga!
Kwa hiyo akiwa wa huko ndio Nini?!!Basi tuseme asili yako ndio shida,naweza kukadiria kama sii wa Mbeya,utakuwa wa Moshi,ama Ar chuga vinginevyo Bukoba,ama Lushotooo
Sio tu kubonda na ni wafugaji bora.Kwa hiyo akiwa wa huko ndio Nini?!!
Umekariri pole sana!Kwani yeye rasta?
Ukila mbichi bilashaka utakuwa mlaku kama fisi.Kama haijaiva vizuri unaweza kupata Brucelosis pamoja na kifafa . Stay turned
Hapo sawa!Sio tu kubonda na ni wafugaji bora.
Kipi cha kukariri ni kariri chap kama kina faida na manufaa?Umekariri pole sana!
Kwamba marasta ndio watu wa Mboga Mboga!Kipi cha kukariri ni kariri chap kama kina faida na manufaa?
Nini asili ya ID yako tajiri?mambo?
Kwanini ule mbichi?Kama haijaiva vizuri unaweza kupata Brucelosis pamoja na kifafa . Stay turned
Hivi sasa wapo wengi wa maigizo tu na wamejaa kooo.Kwamba marasta ndio watu wa Mboga Mboga!
jiongeze kijana.Nini asili ya ID yako tajiri?
Sijasema mbichi. Kama haijaiva vizuri kwenye viwango vinavyotatikana. Hasa za kukaanga ndio haziwezi kuiva vizuriKwanini ule mbichi?
Kama hazijaiva maana yake ni mbichi.Sijasema mbichi. Kama haijaiva vizuri kwenye viwango vinavyotatikana. Hasa za kukaanga ndio haziwezi kuiva vizuri
NashukuruHakuna madhara yoyote mama. Kula uwezavyo.
Kitimoto ni nyama kama nyama nyingine.