Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
- #41
Ahsante.,...Nyama nyeupe si Haina madhara eeeWelcome to the new world
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante.,...Nyama nyeupe si Haina madhara eeeWelcome to the new world
the most feared heath issue ni Pork Tapeworm (Taenia Solium infestation), particularly its tendency to involve the brain (neurocysticer-cosis), unaweza pata kifafa (Epilepsy) uzeeniHello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
😂😂😂Kumbe Nina afadhalii niliogopa sana nkasema isije kuwa ins addiction kama pepsiMara 4 kwa wiki sio addiction
Kuna watu wanakula mara 14 kwa wiki na bado hawajawa addicted. Yaani mchana na jioni kila siku
Wa moshi mkuuBasi tuseme asili yako ndio shida,naweza kukadiria kama sii wa Mbeya,utakuwa wa Moshi,ama Ar chuga vinginevyo Bukoba,ama Lushotooo
Bia situmiiUkiweka na bia 2 za baridi utakuwa fat hatari 😊
Pepsi nimeacha saivi nkila nashushia maji baridiUsisahau na pepsi.
Hakuna madhara yo yote.
,😂😂😂😂😂😂ila humuKula tu hakuna kisicho na madhara.unataka ufe ukiwa fresh ili upate faida gani?
Kama haijaiva vizuri.Kama hazijaiva maana yake ni mbichi.
Yapo. Kula red meats kwa wingi siyo vizuri. Red meats ni nyama za ng'ombe, nguruwe, mbuzi etc. Punguza ikiwezekana kula mara moja tu kwa week.Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Je inafaa kufanyia dietKitimoto ni chanzo cha protein yenye ubora wa hali ya juu.
Pia ina virutubisho vizuri na vingi vya vitamin B (hasa B6 na B12) na madini ya chuma, zinc na selenium yanayosaidia kuwa na mifupa imara, mfumo bora wa kingamwili na kusaidia ukuaji mzuri wa seli.
Inaongeza pia nguvu za kiume kwa kuleta mzunguko mzuri wa damu. Na kadhalika.
Siyo mbaya sana.Pepsi nimeacha saivi nkila nashushia maji baridi
Hata usihofu tena nzuri ukiwa unashushia na Bia ndio Burdani zaidiHello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Nyeupe ni mbingini originated Moja kwa mojaAhsante.,...Nyama nyeupe si Haina madhara eee
Kwani kitimoto Nayo ni Red meatYapo. Kula red meats kwa wingi siyo vizuri. Red meats ni nyama za ng'ombe, nguruwe, mbuzi etc. Punguza ikiwezekana kula mara moja tu kwa week.
Kula nyama ya nguruwe kwa wingi kunaweza kuwa na madhara kadhaa kwa afya, hasa ikiwa haijaandaliwa kwa njia sahihi au ikiwa mtu ana matatizo fulani ya kiafya. Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na:Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Ndiyo mkuu. Ni red meat. Kuku ndiyo hapana.Kwani kitimoto Nayo ni Red meat
Yeah! Ni protein hiyo. Lakini uepuke zile portion zenye mafuta na ngozi. Ule nyama pekee.Je inafaa kufanyia diet
uko wapi kwani?Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya