Nimekuwa addicted na kitimoto, Je kuna madhara kiafya?

Nimekuwa addicted na kitimoto, Je kuna madhara kiafya?

Kula tu nguruwe mkuu.

Kwa wastani, mchina anakula kilo 60 za nguruwe kwa mwaka. Hiyo ni kilo 5 kwa mwezi. Pamoja na hayo, wachina Wana lifespan ya miaka 78.5, zaidi ya nchi zisizotumia kitimoto kama Saudi Arabia ambao life expectancy yao ni miaka 76.9.
So, kula kitimoto tu.
 
Kitimoto bila PICHA ni batili.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Unakuaje addicted na chakula wakati si kilevi? Mambo ya kulewa ndiyo hufanya mtu awe addicted
 
Kitimoto ni chanzo cha protein yenye ubora wa hali ya juu.

Pia ina virutubisho vizuri na vingi vya vitamin B (hasa B6 na B12) na madini ya chuma, zinc na selenium yanayosaidia kuwa na mifupa imara, mfumo bora wa kingamwili na kusaidia ukuaji mzuri wa seli.

Inaongeza pia nguvu za kiume kwa kuleta mzunguko mzuri wa damu. Na kadhalika.
Naam karibuni
20241013_195653.jpg
 
Back
Top Bottom