Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Hakuna madhara yoyote mama. Kula uwezavyo.Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Welcome to the new worldHello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Basi tuseme asili yako ndio shida,naweza kukadiria kama sii wa Mbeya,utakuwa wa Moshi,ama Ar chuga vinginevyo Bukoba,ama LushotoooHello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Kitimoto ni mnyama MTAKATIFU kuliko wote. Endelea kuipokea Baraka na upako wa utamu wa kitimoto.Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto....yaan nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.,..naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Basi mshauri huyo ndugu anayejistukia.Mara 4 kwa wiki sio addiction
Kuna watu wanakula mara 14 kwa wiki na bado hawajawa addicted. Yaani mchana na jioni kila siku
Kwani amekuambia anataka ubonge?Ukiweka na bia 2 za baridi utakuwa fat hatari 😊
mambo?Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Wew doctor ama?Usisahau na pepsi.
Hakuna madhara yo yote.
wakike huyo anatakiwa awe na mafuta mkuuKwani amekuambia anataka ubonge?
Kitimoto ni chanzo cha protein yenye ubora wa hali ya juu.Wew doctor ama?
Inawezakuwa tafsiri yako huenda menyewe anahusudu ukimbaombao.wakike huyo anatakiwa awe na mafuta mkuu
Sasa wewe unaweza kuwaloga wabongo nenda taratibu.Kitimoto ni chanzo cha protein yenye ubora wa hali ya juu.
Pia ina virutubisho vizuri na vingi vya vitamin B (hasa B6 na B12) na madini ya chuma, zinc na selenium yanayosaidia kuwa na mifupa imara, mfumo bora wa kingamwili na kusaidia ukuaji mzuri wa seli.
Inaongeza pia nguvu za kiume kwa kuleta mzunguko mzuri wa damu. Na kadhalika.
Kula Mboga Mboga!Hello wadau,
Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.
Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Nimeandika pure science hapo mkuu.Sasa wewe unaweza kuwaloga wabongo nenda taratibu.