Nimekuwa addicted na kitimoto, Je kuna madhara kiafya?

Hello wadau,

Currently nimekua nakula sana kitimoto yaani nakula mpaka mara 4 kwa week sometimes rost sometimes kavu.

Naomben kujua kama Kuna madhara yoyote kiafya
Allah amekataza ila hakusema madhara yake.
Ni kama kutamani mke wa jirani imekatazwa japo madhara yake hayajasemwa.
 
the most feared heath issue ni Pork Tapeworm (Taenia Solium infestation), particularly its tendency to involve the brain (neurocysticer-cosis), unaweza pata kifafa (Epilepsy) uzeeni
Kwani ikipikwa vizur uyo minyoo hafi
 
Nashukuru
 
Kama unakula kitimoto na ugali basi huo ugali ndo una madhara makubwa. Jitahidi uwe unakula kitimoto peke yake bila ugali, chapati, ndizi au kingine chochote jamii ya wanga.
 
Kama unakula kitimoto na ugali basi huo ugali ndo una madhara makubwa. Jitahidi uwe unakula kitimoto peke yake bila ugali, chapati, ndizi au kingine chochote jamii ya wanga.
Huaga sili na ugalii nakula na ndizi za kukaanga
 
Kwani ikipikwa vizur uyo minyoo hafi
home cooked guarantees nyama kuiva to the core, lakini huko kwenye kuagiza kwa foleni na kulalamika kucheleweshewa, its a recipe ya kupata ugonjwa hatari wa "cysticercosis" through ingestion of undercooked pork containing the parasite's larval cysts (cysticerci).
 
Kwa sasa huwezi tena kupata madhara maana Madhara ulipata ile siku umezaliwa na umbo la sanamu wa michelin
 
Kwanini madhara yasiwepo? Lazima yawepo. Kinachotuua siku hizi ni misosi halafu inafuatia Uchi.
 
Wataalam wanadai hiyo minyoo ni migumu sana kufa, hivyo nyama ya nguruwe isipopikwa Kwa usahihi basi nafasi ya kula nyama ikiwa na minyoo Hawa inakuwa kubwa zaid
Siyo kweli.

Possible parasites wote waliopo kwenye nguruwe (Trichinella spiralis, Taenia solium, Toxoplasma gondii na Sarcocystis spp) wanakufa kwenye temperature ya 63°C.

Hakuna mboga kibongobongo (hata mchicha) inayopikwa chini ya 100°C.

Waambie hao wataalamu wako warudi shule na waache kupotosha umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…