Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.

Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.
Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo.
Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabid mimi nihamishie ofisi nyumban, i had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl..Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.

Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.

Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa nas hapa nyumban na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.
Sasa wakuu , ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuh kutegemeana na jana usiku nimerud saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuh na huwa anatoka na watoto amaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.

Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo. LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hil lakin namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.

Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.

Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hiz naondoka kabla ya wao. Yan hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayar kwa kuvaa na kuondoka.

Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.

Kwakifupi siwez hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakwel imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kaz za kufanya ofisin mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.

Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwez kumuangalia huyu binti maana unahis kama wife asije akakuona.

Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.

Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.

Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni.
Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu bunti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.

Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.

Alamsiki
NB
picha ina uhusiano japo si wa moja kwa moja
View attachment 2901018

Fisi kakabidhiwa Bucha
 
Hakika mkuu. Uwe na amani siwez kabisa kufanya hivyo.
Am just being honest and this is not just a story.it is true.
Msaidie sana afikie malengo yake na ipo siku anaweza kuja kukusaidia pia
Maisha haya mafupi sana kwani miaka 30 ijayo sio mbali kama Mungu atawapa uhai
Kuhusu wife ni mda wa kumuonyesha Ubaba zaidi kwa mtoto ili awe na amani zaidi
 
Pita mbali kumbuka nawewe watoto wako wakuwa, halafu mnamahusiano muone kama mwanao, vipi wewe mtoto wako akatamaniwe huko, mtizame kama mwanao.
Hakika nam treat kama mwanangu ni vile tu wife ndio naona kama hajiamini.

Juzi baada ya kuona kafaulu vizur form4 na anasema anataman kusoma pcb awe daktar nimempa zaidi ya vitabu viwili

1. Nelkon & parker - physics
2. Biological science - biology

Ili aanze kujiandaa na masomo uya high school
 
Msaidie sana afikie malengo yake na ipo siku anaweza kuja kukusaidia pia
Maisha haya mafupi sana kwani miaka 30 ijayo sio mbali kama Mungu atawapa uhai
Kuhusu wife ni mda wa kumuonyesha Ubaba zaidi kwa mtoto ili awe na amani zaidi
Very true mkuu. Juzi nimelatea vitabu vya

  • nelkon& parker - physics
  • biological science - bios

Nimeongea na ant yake (wife) amtafutie waalimu kwa ajili ya tuition nyumban aanze kujiandaa na masoma ya form 5
 
Back
Top Bottom