Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #61
Acha unafk bwana mdogo..ndio type za wanawake zenu hawa mlio nao af unachekelea..shaur zakosafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafk bwana mdogo..ndio type za wanawake zenu hawa mlio nao af unachekelea..shaur zakosafi
NakufuatiliaMkuu stephot ahsante. Nitajitahid kuzidisha maombi shetani ashindwe. Maana hata nikikuonyesha diary yangu moja ya mipango yangu katika mwaka huu ni ku grow spiritually. Sasa shetan kama ameliona hili ni dishio kwake bas inabid atumie akil zaid maana mtego huu nimeshaugundua
ni mtazamo tu, halafu ni kitu kidogo mbonaAcha unafk bwana mdogo..ndio type za wanawake zenu hawa mlio nao af unachekelea..shaur zako
Kwetu hatutumikishwi ndugu wala i never ever kutumikishwaaaNa sio hujalelewa kuwa mtumwa, sema utumwa uliotumikishwa mpaka sasa umekuchosha unatafuta unafuu wa maisha. Sio mbaya
Fanya mpango unisaidie namba ya simu ya hako kadada ili nikusaidie kukakarabati katulie kasije kuzidiwa na nyege kakakukamata kwa nguvu wife wako akiwa kaziniAngalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.
Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.
Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo. Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabidi mimi nihamishie ofisi nyumbani, I had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl. Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.
Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.
Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa hapa nyumbani na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.
Sasa wakuu, ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuhi kutegemeana na jana usiku nimerudi saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuhi na huwa anatoka na watoto anawaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.
Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo.
LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hili lakini namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.
Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.
Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hizi naondoka kabla ya wao. Yaani hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayari kwa kuvaa na kuondoka.
Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.
Kwakifupi siwezi hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakweli imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kazi za kufanya ofisini mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.
Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwezi kumuangalia huyu binti maana unahisi kama wife asije akakuona.
Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.
Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.
Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni. Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu binti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.
Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.
Alamsiki
NB: Picha ina uhusiano japo si wa moja kwa moja
View attachment 2901018
Akaache kabinti kawatu kaende tuition, Advance bila tuition utalia kwakweliJitahidi mkuu, mtu aliyeko chini ya paa lako tena binti mdogo mpe heshima ili uzidi kuheshimika.
Badala umuombee mwenzako shetani ampitie mbali
🤣🤣🤣ngoja amsaidie ndugu malezi, ila A level bila tuition mtu hutoboi.Akaache kabinti kawatu kaende tuition, Advance bila tuition utalia kwakweli
Msiwege mnaoaAngalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.
Suala zima lilianza January ya mwaka huu baada ya kuondokewa na binti yetu wa kazi ghafla mwaka jana December 2023. Wife ni mtumishi wa umma na watoto wetu wote wa 3 wanasoma isipokua huyu wa mwisho ambaye ana mwaka mmoja.
Huyu ndie amekua akibaki na binti wa yetu wa ndani tunapokua hatupo. Mpaka shule kufunguliwa matokeo bila bila, week ya kwanza yote ikabidi mimi nihamishie ofisi nyumbani, I had to work from home huku wife anapambana kutafuta mtu na kiuhalisia hapa mimi huwa simsaidii na sitakaa nije kumsaidia kutafuta binti wa kazi maana i remember 2017 ilinitokeaga puani baada ya kumletea pisi kali nyumbani kama house girl. Ikazua mgogoro na yule binti akaondolewa. Hiki ni kisa kirefu kidogo tukiache.
Baada ya kuhangaika huku na kule bila mafanikio, wife ikamlazimu kumpigia simu wifi yake kama kubatisha tu (mke wa kaka yake) amsaidie. Mungu si athumani, wifi mtu akamwambia nina binti wa kaka yangu amemaliza form 4 anasubiri matokeo, nitakupatia akusaidie kwa kipindi hiki wakati unahangaika kutafuta mtu wa kukusaidia. Basi haikupita siku 2 binti akaja toka Mbezi beach hapo kuja kukaa nasi.
Kwakweli wakuu, huyu mtoto hapana. She ia very very beautiful. Very descent and disciplined. She is intelligent as well maana matokeo yametoka akiwa hapa nyumbani na ana division 1 nzuri tu. Her dream is to be a doctor.
Sasa wakuu, ingawa hatujawahi kuwa na discussion yoyote na wife kuhusu huyu mtoto na wala wife hatilii hata kidogo uamnifu wangu kuhusu haya mambo, bado moyoni kwakweli nakosa amani kabisaaa. Nimezoea kuna nyakati kutoka nyumbani hata saa 4 asubuhi kutegemeana na jana usiku nimerudi saa ngapi. Lakini kwa nyakati hizi nimejikuta naogopa hata kuachwa nyumbani peke yangu na huyu binti.
Wife ratiba yake kutoka kwenda kazini ni saa 1 kamili asubuhi na huwa anatoka na watoto anawaacha shule kisha yeye kuelekea kazini.
Kwa hapo nyuma imekua kawaida tu kuniacha nimelala home nikiwa na plan za kutoka late, ataacha chai hapo yeye atasepa na mimi nitajiandaa at my own time kutoka na amekua anafurahia nikiwa na ratiba za kutoka late kwakua ana uhakika nitahaikisha dogo amekunywa uji na maziwa bila longo longo.
LAKINI kwa hali ya sasa, naona kabisaa wife hana amani kuniacha home. Haniambii kuhusu hili lakini namuona kabisaa kuna utulivu umepungua na umakini umeongezeka sanaaaa.
Kwakifupi anahisi ngome isije ikatikisika.
Basi na mimi kwakua nina akili timamu, nimelijua hili. Hivyo mapemaa sana siku hizi naondoka kabla ya wao. Yaani hata kama jana nimerudi usiku sana , nitajitahid kuondoka alfajiri na mapema. Na siku ikitokea nimeshindwa kabisaa basi ataniacha niko bafuni najiweka safi tayari kwa kuvaa na kuondoka.
Na ninapotoka tu, lazima nimpigie simu ya uongo na ukwel ila lengo ni kufikisha ujumbe kwamba mimi ndio ninatoka, ili angalau tu nimfanye awe na amani huko kazini kwamba nimeshatoka home.
Kwakifupi siwezi hata kurudi nyumbani mapema kama zamani ambapo naweza amua saa 7 mchana niko home wife akirud na madogo wananikuta. Hii time table kwakweli imekufa. Now days nimekua ni full time niko town. Nitatafuta kazi za kufanya ofisini mradi tu nichelewe kurudi home ili nikifika wife awe amefika.
Haya maisha kwasasa yamenifanya kukosa uhuru kabisa home. Hata tukiwa wote pamoja home muda wa dinner unajikuta huwezi kumuangalia huyu binti maana unahisi kama wife asije akakuona.
Wakuu haka kabint kiukwel kamenona. Kama mjuavyo watu wa Singida. Keupeee. Kamejazia jazia. Kwakwel ni shida.
Ila anyway kwa upande mwingine nimepata manufaa pia. Mauzo yangu ya huduma katila kaz nazofanya huko mtaani yameongezeka sana. Maana natumia muda wa ziada kufanya kazi badala ya kurudi home.
Ingawa haiondoi ukwel kwamba kwasasa nyumbani kwangu nimekua kama mgeni. Na vile wanangu wametokea kumpenda sana huyu binti full time wamemzunguka, najikuta hata ile time ya ku spend nao kwa stori za hapa na pale nakosa pia.
Ni hayo tu.
Mnisamehe kwa wale mtakao ona nawaza ujinga.
Alamsiki
NB: Picha ina uhusiano japo si wa moja kwa moja
View attachment 2901018
Nimesoma hadi mwisho but km wewe ni baba wa familia na una tamaa za kijinga km hizi basi hujawa kuwa mwanauneAngalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.

Nipe namba ya huyo shemeji yako ili nikutue mzigo.Angalau leo hii jumapili nimeweza kubaki nyumbani alone baada ya wote kuhudhuria ibada. Nimelala sana kupunguza uchovu wa week nzima.

Cheki mnafiki huyu 😂😂. Unaandika ukiwa umelewa au?.Nimesoma hadi mwisho but km wewe ni baba wa familia na una tamaa za kijinga km hizi basi hujawa kuwa mwanaune