Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Mkuu stephot ahsante. Nitajitahid kuzidisha maombi shetani ashindwe. Maana hata nikikuonyesha diary yangu moja ya mipango yangu katika mwaka huu ni ku grow spiritually. Sasa shetan kama ameliona hili ni dishio kwake bas inabid atumie akil zaid maana mtego huu nimeshaugundua
 
Kumbe tuko wengi.
Mimi nashindwa hata kumuambia aniletee maji maana mmh, wife Kama Kuna kitu anataka kusema lkn Hana ushahidi.
Daaaahhhhj!!! Afadhal useme na wewe chief. Ujue watu wamezoea chainsasa hata mambo ya msingi ukleta wanaona kama story tu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ pole sana kamanda
 
Mmh eti mm huyu niambiwe niende sehem nikamsaidie kuosha vyombo uwiiiii tutapigana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sio mbaya chief. Ungekua teeneger bado wala usingeona kama ni tabu.ni vile wewe tayar ushakua mkongwe
Na kikubwa hajaja kufanya kazi but a baby sitter.

By the way, unaishije maisha yako kama kiosha vyumbo tu unaona ni big deal? Ulilelewaje?
 
Ushamtamani huyo binti,hiyo roho haitakutoka kamwe nakuambia,utavumilia ila siku ukaliona paja lake like wazi kwa bahati mbaya utaanza tena kumtamani, nafsi yako itatulia ukishamla huyo binti......haupo peke yako hata mimi muhanga wa hilo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mkuu bas zidisha maombi nishinde. Hapo kwenye upaja mweupe naomba nisitie neno kwanza
 
Sio mbaya chief. Ungekua teeneger bado wala usingeona kama ni tabu.ni vile wewe tayar ushakua mkongwe
Na kikubwa hajaja kufanya kazi but a baby sitter.

By the way, unaishije maisha yako kama kiosha vyumbo tu unaona ni big deal? Ulilelewaje?
Aisee hizo kazi hapana

Ushasema wifey anatoka saa moja means chores zote za asubui anafanya hako ka dadaaa

Kwakweli sijalelewa kua mtumwa tena mumlipe posho aiseee
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mkuu bas zidisha maombi nishinde. Hapo kwenye upaja mweupe naomba nisitie neno kwanza
Hapa kwenye paja jeupe ndio unataka upachungulie ww na ndio unapopapenda.....si unaona umecheka ina maana unapenda hiyo kitu,nakuapia utaendelea kumtamani tu......we subiria tu kufumwa
 
Aisee hizo kazi hapana

Ushasema wifey anatoka saa moja means chores zote za asubui anafanya hako ka dadaaa

Kwakweli sijalelewa kua mtumwa tena mumlipe posho aiseee
Ahahahaha..sijataka kuzungumzia maisha yangu humu ndani , how we use to do dish wash au laundry.

Usiyatazame maisha ya wengine negativelly namna hiyo kama ambavyo uko resourcefully limited wewe

Maisha yako tofaut sana..unavyoishi/ulivyoishi wewe usidhan sote tunaishi kilalahoi hivyo my young sister.

Na sio hujalelewa kuwa mtumwa, sema utumwa uliotumikishwa mpaka sasa umekuchosha unatafuta unafuu wa maisha. Sio mbaya
 
Back
Top Bottom