Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Hicho kisa/story ya housegirl pisikali naomba utuletee uzi wake kwenye thread ya kula tunda kimasihala itapendeza sana.

Natanguliza shukrani za dhati na upendo wa hali ya juu sana

Anyway nyumba yako mwenyewe unakubali vip kuwa mtumwa?, fukuza huyo binti kwa maslahi mapana ya ndoa yako, undugu wenu na hisia zako, maana kama umeshaona uzuri wa binti, ipo siku akili zitahama utafanya kilichopo mawazon mwako ulichotaka kumfanyia yule house girl mrembo.

Amani yako ni bora kuliko hayo mateso unayoishi as if mkimbizi, kama mmeshindwa kupata mfanyakazi peleka uyo dogo akakae kwa ndugu au mchane mkeo kuwa mfanyakazi atatafutwa kwa gharama yyote ata wew pia utashiriki, usimuogope mkeo atakupanda kichwan na kukutawala, wew ndiye kichwa cha familia kwanini unakuwa mzembe?

Haya basi endelea kuwa mtumwa ndani ya nyumba yako mwenyewe na uwe unahudhuria kazini mpaka weekend na jumapili kumuogopa mkeo na huyo binti pisikali, si ndio aina ya maisha umechagua?

Ipo siku utaanza kulala getini.
Hapana hapana bwana.nitalifanyia kazi
 
Mimi ni mwanaume; napiga sana mechi tu ila katika hali yoyote ile sitakuja kufanya kwa piso yoyote iliyopo kwangu hata akiwa mpita njia tu
Uko sahihi. Na hiki ndio nasimamia.Kula member wa ndani kwangu sio ssawa
 
Akaache kabinti kawatu kaende tuition, Advance bila tuition utalia kwakweli
Bila shaka...Nimemuandalia plan kuhusu hilo na nimeongea pia na ant yake amtafute waalimu for home schoolong..nilisoma pcb pia soni understand the importance of preparations
 
Ukweli ni kuwa unakatamani... Yaani ikitokea upenyo tu utapita nacho.
Ujue kuna kitu hapa wachache wanashindwa kunielewa. Ujue kama binti mzuri ni mzuri hilo huwez jidanganya. Ndio maana hata sisi wazazi kuna time tunapata was was kuhusi watoto wetu wa kike maana unajua kabisaa hapa nimezaa pini haswaaa kwahiyo unaanza mapema kijihadhari na wahuni.


Sikilar here, haka katoto sio ndugu yangu infact, ila sitakagusa hilo nimeapia kwa mwenyez Mungu
 
Fanya mpango unisaidie namba ya simu ya hako kadada ili nikusaidie kukakarabati katulie kasije kuzidiwa na nyege kakakukamata kwa nguvu wife wako akiwa kazini
Ndio maana najitahid sana kuepuka mazingira yalee yalio mtia Yusuf.majaribun kwa mke wa Potifa kubaki wawil tuu ndani.
 
Kwetu hatutumikishwi ndugu wala i never ever kutumikishwaaa


Why hakuwapa binti yake?? So em kaa imagine mwanao unampeleka aka babysit sijui wapi wapi badala ya kwenda tuition kujiandaa na advance

Wenzake wanapiga tuit maskini kenyewe kapo kana tumikishwa makazi


Anyway sijaja kwa ubaya mkuu ni my opinion tu, mrudishen home aende tuition Advance sio O level itamshangaza
unajitahid kwa ushauri, tatizo tu sio level yako mtu unayejaribu kumpa shule hii. I know everythin about what u r trying to say cz i have been there na i ca manage all that..zaid zai i have plans for all those.

Sawa bibie. ?
 
Nakufuatilia
Lzm urudi kule km ulivyokua spiritually

We unajua kabisa, mavuno ni mengi watenda kazi ni Wachache.....
😬
Nitarud tu. Mimi kufia mikonon mwa Mungu sio option. Kingdom is mylife, my destiny
 
Back
Top Bottom