Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

Fisi kakabidhiwa Bucha
 
Hakika mkuu. Uwe na amani siwez kabisa kufanya hivyo.
Am just being honest and this is not just a story.it is true.
Msaidie sana afikie malengo yake na ipo siku anaweza kuja kukusaidia pia
Maisha haya mafupi sana kwani miaka 30 ijayo sio mbali kama Mungu atawapa uhai
Kuhusu wife ni mda wa kumuonyesha Ubaba zaidi kwa mtoto ili awe na amani zaidi
 
Pita mbali kumbuka nawewe watoto wako wakuwa, halafu mnamahusiano muone kama mwanao, vipi wewe mtoto wako akatamaniwe huko, mtizame kama mwanao.
Hakika nam treat kama mwanangu ni vile tu wife ndio naona kama hajiamini.

Juzi baada ya kuona kafaulu vizur form4 na anasema anataman kusoma pcb awe daktar nimempa zaidi ya vitabu viwili

1. Nelkon & parker - physics
2. Biological science - biology

Ili aanze kujiandaa na masomo uya high school
 
Msaidie sana afikie malengo yake na ipo siku anaweza kuja kukusaidia pia
Maisha haya mafupi sana kwani miaka 30 ijayo sio mbali kama Mungu atawapa uhai
Kuhusu wife ni mda wa kumuonyesha Ubaba zaidi kwa mtoto ili awe na amani zaidi
Very true mkuu. Juzi nimelatea vitabu vya

  • nelkon& parker - physics
  • biological science - bios

Nimeongea na ant yake (wife) amtafutie waalimu kwa ajili ya tuition nyumban aanze kujiandaa na masoma ya form 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…