Nimekuwa mgeni nyumbani kwangu. Nakosa uhuru kabisa

unajitahid kwa ushauri, tatizo tu sio level yako

Sawa bibie. ?
Tujibizane kwa hoja,

Ukweli una baki pale pale rudisha mtoto wawatu apelekwe tuition,nyie tafuteni housegirl awalelee mwanenu

Jiulize if one day utatoa mwanao wa kike aende akalelee mtoto wa any of your close relatives , will you? Hows that feel? Au muulize wifey wako if anaeza

By the way level? Which level? Naona tunafloat the same boat , tunaaunga bando tunaingia JamiiForum umepost na nimeona are you satsfied now?? smh
 
😁 sawa mdongo wangu. Shkamoo dada. Na unisamehe kwa kutumikisha watoto wa watu πŸ˜‚
 
Huyo mtoto ni mdogo bado plz muache mana utaharibu akili hyo.

Pia kumbuka wanaume tumeumbiwa lawama msubiri akuwe afike chuo mweke akiba.Wanfunz hawana ukomav wa mikito.
Ahahahah..Dahh!!. Eeh huu kwel ushauri wa kimwamba. Kwamba awekwe akiba?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ for future uses
 
Umemaliza kila kitu,amekuja kujichoresha kwa wakulungwa kuona wanasemaje ili achague lakufanya, hapo kwa go ahead mpaka nmecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kweli mkuu; as baba wa familia you should not cross the line; fanya mambo hayo mbali; hakimisha unaofanya nao hawamjui mkeo na watakiwi kumjua kamwe otherwise utamkosea heshima sana mkeo
kama unachozungumza una ki practice kweli mkeo kapata mume lau kama nifate maneno yako nisifate matendo yako usiku mwema mkuu
 
ujinga usipoutoa utotoni ukubwani ni aibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…