Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

Kidume mtanashati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lake mtu halimtapishi,,ukinielewa utanielewa.
 
Unaweza mpa mtu simu yako akaishika anavyoweza then ukasahau kunawa,ila mkono lazima unawe,lake mtu halimtapishi
 
Nunua hand sanitizer ukimaliza hekaheka za siku nzima unajipaka viganjani.

Umesema hapo juu una watoto je umewahi kuwabadilisha nepi
 
Papuchi unakula?
 
Papuchi unakula?
Papuchi nakula,ila "kule chini" sipeleki mdomo wala vidole vyangu,na nikimaliza hiyo kazi nitaoga hata masaa mawili maana najihisi nimechafuka mno.
 
Hujafikia utanashati bado.

Ungekuwa mtanashati ungevaa gloves. Unashikana mikono na watu halafu unajiita mtanashati?

Labda mtanabukta.
 
Nunua hand sanitizer ukimaliza hekaheka za siku nzima unajipaka viganjani.

Umesema hapo juu una watoto je umewahi kuwabadilisha nepi
Hiyo kazi sijawahi kuifanya,huwa namuita House girl haraka mno kama nimeng'atwa na ng'e na ndio marumbano na wife yanapoanzia hapo kwamba eti nawanyanyapaa hadi watoto wangu.
 
Cha kushangaza ni itokee kuwa wewe ni mfuasi wa "dry"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…