Nimekuwa mtu mwema nimeishia kudharaulika naombeni mbinu za kuwa na roho mbaya nisiye na hisia

Hata sijui kama kuna mbinu! Naonaga tu watu wananiambiaga nina roho mbaya sipendi na sijali watu, najijali mwenyewe tu πŸ˜‚ ukweli ni kwamba sio kama sipendi watu nawapenda ila sipendi watu wawe around me!!
 
Tunajua anachokifanya muuaji huyo ni kusaka huruma ya chama ionekane wote wanahusika.

Wauaji wanateteana.
Ushirikina umewafanya chadema wasielewane na wasieleweke kabisa kwa jamii...

Ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule huku mkisingizia sijui nini, kutawamaliza wenyewe..πŸ’

Kaa tayari kuskia hotuba ya mkuu wa nchi akizungumza na waTanzania kutoka uwanja wa maji maji Songea gentleman πŸ’
 
Hata sijui kama kuna mbinu! Naonaga tu watu wananiambiaga nina roho mbaya sipendi na sijali watu, najijali mwenyewe tu πŸ˜‚ ukweli ni kwamba sio kama sipendi watu ila sipendi watu wawe around me!!
MUNGU atusaidie kuhesabu siku zetu, ili mwisho wetu uwe mwema, kuwa na amani ....
 
Badala ya kuwafariji wananchi yeye anasimama kuwasuta na kuwwtishia

Badala ya kuhakikishia usalama wa raia na wakosoaji wake, yeye anawatuma polisi na wananjeshi wawashughulikie.

Endeleeni kumhadaa na kumpamba. Sisi tumeshafika kimataifa na hakuna kurudi nyuma
 
Mfatilie mtu anaitwa Netanyahau
 
mambo mrembo...
 
Nenda ukaishi Gaza!
 
1. Usiwe mtu wa kuongea au kusalimiana na mtu we kuwa kmya tu muda mwingi hata mtu akikusemesha we uwe unamwangalia tu labda awe msumbufu ndio umjibu tena kwa ukali au kwa kifupi
2. Usiwe mtu wa kucheka au kutabasamu we uwe wa mikausho mikali
3. Kuwa na marafiki wachache wanaojielewa tena kutana nao kwa muda mfupi na mara chache
4. Pendelea kuangalia movies za kutisha
5. Kuwa mbinafsi, sio kutoa msaada kizembe(uchoyo)
6. Muda mwingi waza mabaya tu au yale uliyotendewa kwa ubaya

mengne nitaongezea maana roho mbaya ndio wasifu wangu wa nje, ila nikiwa ktk vilevi nakua mtu poa sana mwenye kujari na huruma
 
Kila kitu kina mwanzo wake nitajifunza ukatili mpaka nibobeee
Kila la kheri mkuu bt muda ni mwalimu mzuri utakufunza zaidi juu ya unachokitamani.

kuna jamaa tuliwahi soma nae, alikua katili na rohombaya sana bt matukio alokua akifanya hakua akiadhibiwa bt sie waigaji tuliadhibiwa na kua suspended.

si kila kitu kinafaa kuigwa mkuu.
 
Jifunze haya mambo

Kujipenda
Kupenda watu
Hekima.

Kujipenda- make sure you love ur self na kuwa positive 24/7

Kupenda watu - usibague watu love everybody don't hate people what you sow now you shall reap.

Hekima- kuwa na wisdom don't be judgmental people they do what they do according to their level of consciousness , maana yake MTU mwema anaweza kuwa muovu na muovu anaweza kuwa mwema.

So don't take anything personal.


Mwisho

Roho mbaya na roho nzuri ni nadharia tu ambazo tunazitengeneza kichwani.

Maana MTU ambaye anakufanyia ubaya anakuwa anjifanyia mwenyewe so kumjibu ,kugombana naye au kumlipizia kisasi ni kugawanya maumivu .

Kuna neno (kujifanyia ) 100% kila jambo fanya kwa kujifanyia na sio kufanyia watu

Unachoangaza utakipata tu ukitoa upendo ili na wewe upate upendo kwa uliempa UPENDO fahamu tu hautoupata huo upendo nature haifanyi hivyo Kazi .

So being heartless is waste of time and lack of emotional intelligence.
 
By ambwene mwasongwe
"Acha tuteseke ulimwengu ututese
watu watusimange watunene mabaya
hatutaumbuka kwa ujasiri wetu
tutaendelea kumfuata yesu "
Ndy nasikiliza nyimbo hiyo.
 
wanasiasa washirikina waliokosa na kufilisika hoja ni lazma waambiwe ukweli regardless watajiskiaje. Lazima waache kutoa watu kafara na ramli chonganishi, waache kuchukua vijana wao misukule na kusingizia mambo ambayo hayapo..

Halafu mbona iko wazi tu
Kwamba Umoja, Amani, utulivu na usalama wa waTanzani utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile, hakuna kumung'unya maneno wala kubabaika kwenye hilo gentleman πŸ’
 
Itabidi mtu akufanyie ukatili, Utakuwa katili to the fullest.

Btw makatili wengi wamefanyiwa ukatili na watu wanaowajua/wasiowajua so wanalipa kisasi kwa wanyonge.
 
Kwa huku kutafuta mbinu tu, ni tayari ushakuwa na katili na mwenye roho mbaya. Ulichokosa ni wa kumfanyia tu huo ukatili na roho mbaya.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…