Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushirikina umewafanya chadema wasielewane na wasieleweke kabisa kwa jamii...Tunajua anachokifanya muuaji huyo ni kusaka huruma ya chama ionekane wote wanahusika.
Wauaji wanateteana.
Roho ni pumzi kwahiyo hakunaga roho mbaya 😂😂Roho zinaambukizana sudi zao.
Mzee kwani huna roho?
MUNGU atusaidie kuhesabu siku zetu, ili mwisho wetu uwe mwema, kuwa na amani ....Hata sijui kama kuna mbinu! Naonaga tu watu wananiambiaga nina roho mbaya sipendi na sijali watu, najijali mwenyewe tu 😂 ukweli ni kwamba sio kama sipendi watu ila sipendi watu wawe around me!!
Badala ya kuwafariji wananchi yeye anasimama kuwasuta na kuwwtishiaUshirikina umewafanya chadema wasielewane na wasieleweke kabisa kwa jamii...
Ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule huku mkisingizia sijui nini, kutawamaliza wenyewe..🐒
Kaa tayari kuskia hotuba ya mkuu wa nchi akizungumza na waTanzania kutoka uwanja wa maji maji Songea gentleman 🐒
Mfatilie mtu anaitwa NetanyahauHabari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
Mssidieni kijana awe kama Mafwele jamani🤣Roho ni pumzi kwahiyo hakunaga roho mbaya 😂😂
Huyo jamaa Yako aende kwa Dr Mshana Jr atapewa " pepo wachafu" 🤣
mambo mrembo...Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
Nenda ukaishi Gaza!Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
Kila la kheri mkuu bt muda ni mwalimu mzuri utakufunza zaidi juu ya unachokitamani.Kila kitu kina mwanzo wake nitajifunza ukatili mpaka nibobeee
wanasiasa washirikina waliokosa na kufilisika hoja ni lazma waambiwe ukweli regardless watajiskiaje. Lazima waache kutoa watu kafara na ramli chonganishi, waache kuchukua vijana wao misukule na kusingizia mambo ambayo hayapo..Badala ya kuwafariji wananchi yeye anasimama kuwasuta na kuwwtishia
Badala ya kuhakikishia usalama wa raia na wakosoaji wake, yeye anawatuma polisi na wananjeshi wawashughulikie.
Endeleeni kumhadaa na kumpamba. Sisi tumeshafika kimataifa na hakuna kurudi nyuma
kwamba mimi ndio kinara wa roho mbaya jf? yani umenipa cheo cha uwenyekiti wa kamati ya roho mbaya humpati mwananguMama Mwana njoo utoe ushauri uku
Kwa huku kutafuta mbinu tu, ni tayari ushakuwa na katili na mwenye roho mbaya. Ulichokosa ni wa kumfanyia tu huo ukatili na roho mbaya.Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
hapana mama mkwee wewe umekula chumvi nyingi that why nimekuita hapakwamba mimi ndio kinara wa roho mbaya jf? yani umenipa cheo cha uwenyekiti wa kamati ya roho mbaya humpati mwanangu
a hiyo mm ni ajuza?hapana mama mkwee wewe umekula chumvi nyingi that why nimekuita hapa