Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Jamaa hawanaga habari ndogoKamwombe ushauri Netanyahu
mcheki paulo ama saba ya.Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
hapana ww mamkwe umechangamka sana 😁kw
a hiyo mm ni ajuza?
wewe hayahapana ww mamkwe umechangamka sana 😁
Omba kazi CCM ujiunge na UVCCM.Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo
Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha
Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa
Nawasilisha
Pdidy Angekushauri vizuri sana.Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.
Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha.
Sihitaji ushauri wa dini wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa.
Nawasilisha.
Haichukui nafasi ya daktari "we chukua tu pilipili jiwekee kwenye" "puru" la kisamvu cha kopo hayo mateke utakayoruka hapo watu wote watakuogopa!Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.
Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha.
Sihitaji ushauri wa dini wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa.
Nawasilisha.
Na roho nzuri naye haijamsaidia.acha kujifunza roho mbaya,
HAITAKUSAIDIA
chochote ktk MAISHA yako.
Una roho mbaya🤣🤣Haichukui nafasi ya daktari "we chukua tu pilipili jiwekee kwenye" "puru" la kisamvu cha kopo hayo mateke utakayoruka hapo watu wote watakuogopa!