Nimekuwa mtu mwema nimeishia kudharaulika naombeni mbinu za kuwa na roho mbaya nisiye na hisia

Habari zenu jamii forum kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma Wala upendo

Nimekua mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha

Sihitaji ushauri wa dini Wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa

Nawasilisha
mcheki paulo ama saba ya.
 
Omba kazi CCM ujiunge na UVCCM.
 
Ingiza kidole mdomoni king'ate mpaka kining' inie.. au chukua mnyama yoyoyote yule akiwa hai kama kuku paka nk washa moto mtupie mtazame huku ana ungua..hapo utakuwa na roho mbaya jombii
 
BE FREEE! acha kujifunza roho mbaya,
HAITAKUSAIDIAchochote ktk MAISHA yako.
usijifunze roho mbaya, bali jifunze KUJITAMBUA inatosha.jipende,jijali,jithamini,ishi maisha yako.
 
Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.

Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha.

Sihitaji ushauri wa dini wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa.

Nawasilisha.
Pdidy Angekushauri vizuri sana.
Sema sijui kama ungemudu gharama za mafuta...ngoja mwana apate dhamana
ERoni
 
Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.

Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na maisha.

Sihitaji ushauri wa dini wala mahubiri nataka ushauri wa kiintelijensiaa.

Nawasilisha.
Haichukui nafasi ya daktari "we chukua tu pilipili jiwekee kwenye" "puru" la kisamvu cha kopo hayo mateke utakayoruka hapo watu wote watakuogopa!
 
acha kujifunza roho mbaya,
HAITAKUSAIDIA
chochote ktk MAISHA yako.
Na roho nzuri naye haijamsaidia.
Hapo juu nimetania lkn ukweli ukiwa na roho nzuri kuna wakati ni hasata, utatumika vibaya na utaumizwa sana
 
Haichukui nafasi ya daktari "we chukua tu pilipili jiwekee kwenye" "puru" la kisamvu cha kopo hayo mateke utakayoruka hapo watu wote watakuogopa!
Una roho mbaya🤣🤣
 
Back
Top Bottom