Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Tatizo kinachoudhi ni kwamba mtu una 1million kila mwezi tenga fungu kwa ajili ya Therapy.Msijibu kitu Kama hamjakipitia kwa kuamini akili na hisia zako zinaweza kuwa za kweli.
Hichi kitu kilinikuta na kinauma Sana kwa ndani kibaya Zaid kikikomaa kinajitokeza kufkia hatua watu wanaona kuwa unashida kichwani.
Me nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.Tatizo kinachoudhi ni kwamba mtu una 1million kila mwezi tenga fungu kwa ajili ya Therapy ..
Unajua kibongo bongo naona swala la counseling hawalichukulii serious. Ila kwa dunia hii hakuna jambo linatesa watu kama Depression! Ikikomaa unapata Anxiety /panic attack unakua huishi bali una survive na hiko ni kitu kibaya zaidi kuwahi kumtokea mtu...
Hatukatai ana janga ila ni kwamba ana uwezo wa kufanyiwa counseling na hilo wazo la kuacha kazi ni wazo baya kwakweli. Na hapa alivyoandika wengine sisi Ma Jobless tumeona matatizo mawili tofauti bora asingezungumzia kuhusu kuacha kazi!
Wachawi huanza hivyo hivyo, have uwezi pata amani kwa kuacha kazi na kujikita kwenye baja
Sio kutokufanya chini ya watu but I feel so uncomfortable sometimesNakushauri acha kazi nunua baiskeli na uwe unabeba abiria mmoja mmoja,maana bajaji utabeba abiria wengi na mwisho wa siku watakusumbua bure.
Nilivyo kuelewa mm issue sio kuingiza pesa issue ni kupata amani ya moyo kwa kuwa hutaki kuwa chini ya watu si ndio?
Comfortability iko mbinguni,duniani ni vita tuSo solution ni nini?
Sio kutokufanya chini ya watu but I feel so uncomfortable sometimes
Nilishawah kwenda kwa specialist,charge per session ni 30k na Hamna kituMe nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.
Bongo motivation speakers tu Counselling wanafanya wachache Sana😂😂
Ni kweliMe nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.
Bongo motivation speakers tu Counselling wanafanya wachache Sana😂😂
Tafuta mwingineNilishawah kwenda kwa specialist,charge per session ni 30k na Hamna kitu
Ndo nini hiiUnstochoras cyo
Huko kanisani nilikuwa nina sali ila sasa kuna kaubinafsi flan yaani ibada ikiisha tu watu wote wanaingia kwenye Magari yao kwenda kwao Sasa ilinishindaTafuta mwingine
Wapo wengi sana.
Pia km mkristo hudhuria mafundisho ya biblia utapata kitu
Nenda kasikilize neno reality of christ naamini utapata kituHuko kanisani nilikuwa nina sali ila sasa kuna kaubinafsi flan yaani ibada ikiisha tu watu wote wanaingia kwenye Magari yao kwenda kwao Sasa ilinishinda