Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

Nakushauri acha kazi nunua baiskeli na uwe unabeba abiria mmoja mmoja,maana bajaji utabeba abiria wengi na mwisho wa siku watakusumbua bure.

Nilivyo kuelewa mm issue sio kuingiza pesa issue ni kupata amani ya moyo kwa kuwa hutaki kuwa chini ya watu si ndio?
 
Msijibu kitu Kama hamjakipitia kwa kuamini akili na hisia zako zinaweza kuwa za kweli.
Hichi kitu kilinikuta na kinauma Sana kwa ndani kibaya Zaid kikikomaa kinajitokeza kufkia hatua watu wanaona kuwa unashida kichwani.
Tatizo kinachoudhi ni kwamba mtu una 1million kila mwezi tenga fungu kwa ajili ya Therapy.

Unajua kibongo bongo naona swala la counseling hawalichukulii serious. Ila kwa dunia hii hakuna jambo linatesa watu kama Depression! Ikikomaa unapata Anxiety /panic attack unakua huishi bali una survive na hiko ni kitu kibaya zaidi kuwahi kumtokea mtu.

Hatukatai ana janga ila ni kwamba ana uwezo wa kufanyiwa counseling na hilo wazo la kuacha kazi ni wazo baya kwakweli. Na hapa alivyoandika wengine sisi Ma Jobless tumeona matatizo mawili tofauti bora asingezungumzia kuhusu kuacha kazi!
 
Shule ilituwekea kitu kibaya sana.

Ukikosea unapigwa ukikosea unadhalilishwa. Tukaanza kuona makosa ni laana ktk maisha yetu na kamwe kutoyakubali.

Jikague .Ukiambiwa umekosea unajiskiaje na wengi hawataki kuonekana hawajui na hi Ni hofu juu ya status zao ktk jamii
 
Mkuu usiache kazi pls

Kujiajiri ni rahisi kabla hujaanza ukishaanza ni kimbembe tafuta tu njia ya kueza likabili tatizo ila USIACHE KAZI
 
Tatizo kinachoudhi ni kwamba mtu una 1million kila mwezi tenga fungu kwa ajili ya Therapy ..
Unajua kibongo bongo naona swala la counseling hawalichukulii serious. Ila kwa dunia hii hakuna jambo linatesa watu kama Depression! Ikikomaa unapata Anxiety /panic attack unakua huishi bali una survive na hiko ni kitu kibaya zaidi kuwahi kumtokea mtu...
Hatukatai ana janga ila ni kwamba ana uwezo wa kufanyiwa counseling na hilo wazo la kuacha kazi ni wazo baya kwakweli. Na hapa alivyoandika wengine sisi Ma Jobless tumeona matatizo mawili tofauti bora asingezungumzia kuhusu kuacha kazi!
Me nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.

Bongo motivation speakers tu Counselling wanafanya wachache Sana😂😂
 
So solution ni nini?
Wachawi huanza hivyo hivyo, have uwezi pata amani kwa kuacha kazi na kujikita kwenye baja
Nakushauri acha kazi nunua baiskeli na uwe unabeba abiria mmoja mmoja,maana bajaji utabeba abiria wengi na mwisho wa siku watakusumbua bure.
Nilivyo kuelewa mm issue sio kuingiza pesa issue ni kupata amani ya moyo kwa kuwa hutaki kuwa chini ya watu si ndio?
Sio kutokufanya chini ya watu but I feel so uncomfortable sometimes
 
Narudia tena, jichanganye
Screenshot_20220530-184418_WhatsAppBusiness.jpg
 
Unless utuambie unataka kuchangamsha jukwaa mkuu, yaani uache kazi ya kuingiza milioni plus ukaendeshe boda boda?
 
Me nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.
Bongo motivation speakers tu Counselling wanafanya wachache Sana😂😂
Nilishawah kwenda kwa specialist,charge per session ni 30k na Hamna kitu
 
Wewe ni juha. Kuacha kazi ya shilingi milioni moja kwa mwezi kwenda kuendesha boda boda. Bods boda hàwa vibaka wanaonyang'anya watu simu mtaani?

Kutokuwa na imani isiyo ya kweli kwa wengine au hisia ya kuteswa. Ikizidi sana inaweza kuwa ishara ya ugonjwa wa akili.

Hiyo inaitwa "paranoia",nimeitafsiri hapo juu. Kwamba wewe unadhani watu wote duniani wanakuchukia. Ni sawa,watu wengi duniani Wana chuki. Lakini ikizidi sana inaitwa ugonjwa wa akili.
 
Me nilienda sehemu fulani daaah hell yangu iliniuma Mana Hypnotist alishinda kunisaidia kufanya ubongo wangu uanze kufkiria upya nkajikuta mzigo unanilemea.
Bongo motivation speakers tu Counselling wanafanya wachache Sana😂😂
Ni kweli
Ndio mana unapotaka kufanya appointment unamsikiliza kwanza..
Kama ndiye utaona jinsi unavyopata amani.
 
Tafuta mwingine
Wapo wengi sana.
Pia km mkristo hudhuria mafundisho ya biblia utapata kitu
Huko kanisani nilikuwa nina sali ila sasa kuna kaubinafsi flan yaani ibada ikiisha tu watu wote wanaingia kwenye Magari yao kwenda kwao Sasa ilinishinda
 
utakuwa umerogwa wewe sio bure...unajua shuruba za uboda boda au bajaj? au unaongea tu...Hakuna sehemu isiyokuwa na changamoto ila ni jinsi utakavyokabiliana nayo,if you make it hard and hard it will be if you make it simple and simple it will be...acha uboya na ufala
 
Huko kanisani nilikuwa nina sali ila sasa kuna kaubinafsi flan yaani ibada ikiisha tu watu wote wanaingia kwenye Magari yao kwenda kwao Sasa ilinishinda
Nenda kasikilize neno reality of christ naamini utapata kitu
 
Back
Top Bottom