Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

Nimekuwa mtu nisiyejiamini na sipendi "kushobokea" watu. Nimeamua kufanya maamuzi haya

Lukaku marata

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2019
Posts
449
Reaction score
752
Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi.

Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu wapo against me au sijui ninacho kifanya katika maisha, napenda sana kuchanganyika na watu lakini mara nyingi sipendi kuonekana nina mshobokea mtu yaani.

Sasa nimeamua kufanya hivi niache kazi ninunue bajaj au boda nifanye maana naona maisha ya bajaj au boda boda ni ya uhuru na mazuri kiasi tofauti na huku kazini naogopa kufail au kuonekana ni mjinga.
 
Wewe ni Introvert km mimi hili pia linanikuta na nimefanya kazi nyingi jijini Dar es salaam lakini sikua na amani ya roho uamuzi niliochukua ni kutoka nje ya Dar na kuingia mkoani na kutafuta eneo kubwa ambalo nalima na kufuga. Hiyo ya kutafuta Bajaj naona imekaa vzr zaidi kuliko Boda bado ni uamuzi mzuri sisi Introvert tunashindwa kuwa chini ya mtu
 
Perfectionism bro hiyo Ni hofu Kama hofu zingine.

Kuogopa kukosea na watakuonaje(Social approval) Ni wazi unapenda kuchukulia vitu personally.

Nilikuwa mhanga wa hiyo kitu na dawa Ni kuface hofu yako na kuushawish ubongo wako kuwa haikustui kusemwa untill iwe tabia kichwani mwako kuwa hakuna noma watajijua wao na mawazo yao .
 
Perfectionism bro hiyo Ni hofu Kama hofu zingine.
Kuogopa kukosea na watakuonaje( Social approval ) Ni wazi unapenda kuchukulia vitu personally.

Nilikuwa mhanga wa hiyo kitu na dawa Ni kuface hofu yako na kuushawish ubongo wako kuwa haikustui kusemwa untill iwe tabia kichwani mwako kuwa hakuna noma watajijua wao na mawazo yao .
Can you give me techniques to handle that?
 
Wewe ni Introvert km mimi hili pia linanikuta na nimefanya kazi nyingi jijini Dar es salaam lakini sikua na amani ya roho uamuzi niliochukua ni kutoka nje ya Dar na kuingia mkoani na kutafuta eneo kubwa ambalo nalima na kufuga. Hiyo ya kutafuta Bajaj naona imekaa vzr zaidi kuliko Boda bado ni uamuzi mzuri sisi Introvert tunashindwa kuwa chini ya mtu
Tupo wengi.
 
Napenda sana kukaa Dar….And kama ntaendesha bajaj.Je watu watanionaje?
 
V
Vijana wa Sinza waongowaongo tu uongo kwao ndiyo dili! Wewe unaingiza milioni moja kwa mwezi hii ni zaidi ya afisa anayekatwa kodi, leo eti unataka kuendesha bajaji! Hiyo bajaji unatuaminisha itakuingizia zaidi ya milioni moja? Heri yako mkora.
 
Mimi sio kwamba nikiendesha bajaj ndo kwamba nipate hela no, niishe kwa amani vizuri
 
Napenda sana kukaa Dar….And kama ntaendesha bajaj.Je watu watanionaje?
Hayo ndio matatizo yetu Introvert tunaangalia watu watakuonaje na kukuzogoma ila kikubwa ni amani ya nafsi yako ndio maana mimi niliona nitoke nje ya mkoa huo ili nafsi yangu ipate amani. Sasa hapo cha kufanya hiyo Bajaj yako unaweza ukawa unafanya kazi nje kidogo ya mji such as Mbezi ya Kimara, Mbweni, Tegeta, Bunju halafu usiku unaingia maeneo ya kumbi za starehe kunakuaga na trip nzuri kwa bei nzuri
 
Hakuna kitu kizuri kama aman ya ndani, Fanya vitu vyote lakini kumbuka aman ndio kila kitu.
NB: Ili uushinde uoga, Fanya Yale mambo unayoyaogopa kila wakati.
 
Kama mshahara wako ni chini ya 300,000 nenda Kafanye hiyo kazi ya bodaboda na Bajaji.

Ukivunjika miguu uwe ombaomba ndipo utakapoona watu wa Bajaji na bodaboda wanafaidi mademu.

Hivi umewahi kumwona mtu wa Bajaji au bodaboda kapaki gari ya kutembelea?

Tangu dunia ianze haihawi kutokea.

Akiadvance sana atakuwa dereva wa IST au Kirikuu ya mkataba akimaliza inakuwa yake anauza anaingia mkataba mwingine.
 
Msijibu kitu Kama hamjakipitia kwa kuamini akili na hisia zako zinaweza kuwa za kweli.

Hichi kitu kilinikuta na kinauma Sana kwa ndani kibaya Zaid kikikomaa kinajitokeza kufkia hatua watu wanaona kuwa unashida kichwani.
 
Back
Top Bottom