Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
Habari zenu humu wadau. Ninahitaji msaada wenu katika mawazo na ushauri.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 28 mkazi wa jijini Dar es salaam(Sinza). Sijao wala sina mtoto, nina kazi ambayo huniingizia zaidi ya milioni moja kwa mwezi.
Nimekuwa mtu wa nisiyejiamini kabisa na kuona dunia au watu wapo against me au sijui ninacho kifanya katika maisha, napenda sana kuchanganyika na watu lakini mara nyingi sipendi kuonekana nina mshobokea mtu yaani.
Sasa nimeamua kufanya hivi niache kazi ninunue bajaj au boda nifanye maana naona maisha ya bajaj au boda boda ni ya uhuru na mazuri kiasi tofauti na huku kazini naogopa kufail au kuonekana ni mjinga.