Nimekuwa na Imani sana na Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Emmanuel

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
258
Reaction score
393
Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani

Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake

Watu bwana dah!
 
Kinywa kisichokemea utekaji na mauaji ya raia kinawekwa kapu Moja na wenzake
 
Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo flan

Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, su sijui misimamo yake

Watu bwana dah!
Nchimbi hafae ni kambi ile ile ya wauuji, kusupport nchimbi labda iwe kwa msingi wa Imani.....ila ni hateri hata kuliko samia.
 
Rais wa hii Nchi anatakiwa kua Lissu mtu from no where kama Lissu hana makundi msomi mwenye IQ na EQ kubwa huyu ndo anaweza kututoa hapa na akaunganisha watu wote
 
Makamu wa raisi ni kama kivuli tu, hicho cheo hakinaga meno.

Siku hizi hata waziri mkuu hana meno, ni raisi pekee.
 
Rais wa hii Nchi anatakiwa kua Lissu mtu from no where kama Lissu hana makundi msomi mwenye IQ na EQ kubwa huyu ndo anaweza kututoa hapa na akaunganisha watu wote
Lissu ni upgrade tu ya Magufuli tujiadeni kwa maamuzi magumu hana compromise yotote huyu jama ni radical
 
Lissu ni Muumini wa sheria ndo uzuri alionao hana makandokando mtu safi anayechuki rushwa kwa vitendo
 
Emmanuel Nchimbi is a criminal.

CCM is a criminal organization, the likes of The NAZI Party. There's no absolution for them, they're all rotten eggs.​
 
Rais wa hii Nchi anatakiwa kua Lissu mtu from no where kama Lissu hana makundi msomi mwenye IQ na EQ kubwa huyu ndo anaweza kututoa hapa na akaunganisha watu wote
IQ YES
EQ NO

Lissu hana utulivu kwenye reactions zake kiasi cha kumuona kama mtu ambaye ni emotionally intelligent
 
Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani

Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake

Watu bwana dahwa wasiyojua , Nchimbi amepatikana dakika ya 89 ,mtangulizi wake alishatengeneza hadi mabango na vipeperushi .
Swali , mnawajua waliyompambania Dr Nchimbi hata kufanikiwa kukikalia hicho kiti ?
Mnaujua upande wa waliyompambania?

Tusikubali kulihadaa Taifa kwa sababu zakimaslahi binafsi .

kwa katiba yetu makamu wa Rais hana tofauti na house girl, labda hadi pale itakapotokea vinginevyo.

Kimsingi Nchimbi hawezi kuwa tofauti na waliyosababisha awepo alipo ,kuamini tofauti na hivyo ni ndoto za mchana.

CCM must Go
 
Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani

Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake

Watu bwana dah!
Tatizo ni mfumo ndani ya CCM. Kikombe ukishalipeleka msalani kinabadilika sifa hata kikiwa kisafi namna gani.
 
Kama utakumbuka alikataa wazi wazi jambo fulani

Inakuwaje kwenye hili amekaa kimya, sijui misimamo yake

Watu bwana dah!
Wewe nawe,Nchimbi ni Team Lowassa lia lia.
 
Nchimbi hafae ni kambi ile ile ya wauuji, kusupport nchimbi labda iwe kwa msingi wa Imani.....ila ni hateri hata kuliko samia.
Mkuu hii ni mara nyingine naona unapenda kukimbilia sana imani. Kwa Nini usiwaze kuwa huenda anampenda nchimbi sababu ni rafiki yake, ndugu yake au mnufaika wake? Kwa nini huwa unatanguliza sana imani?
Huyu aliyeweka thread kwa michango yake ya nyuma wala hana imani moja na nchimbi. Ni musilm
Screenshot_20251107-121141_1.jpg
 
Back
Top Bottom