Ni kweli mkuu ila, hakuna Rais ataekamilika kwa 100%, kikubwa awe na unafuu mkubwa akilinganishwa na waliopita au washindani wake.Ni sawa mkuu ila nchi haindeshwi na sheria tu kunasehemu utakwama.
IQ YES
EQ NO
Lissu hana utulivu kwenye reactions zake kiasi cha kumuona kama mtu ambaye ni emotionally intellige
Sio wazee wa CCM ndo waliopendeza chimbi kweli maana ndo alionekana ana angalau kidogoSwali , mnawajua waliyompambania Dr Nchimbi hata kufanikiwa kukikalia hicho kiti ?
Mnaujua upande wa waliyompambania?
Tusikubali kulihadaa Taifa kwa sababu zakimaslahi binafsi .
kwa katiba yetu makamu wa Rais hana tofauti na house girl, labda hadi pale itakapotokea vinginevyo.
Kimsingi Nchimbi hawezi kuwa tofauti na waliyosababisha awepo alipo ,kuamini tofauti na hivyo ni ndoto za mchana.
CCM must Go