Nimekuwa na Imani sana na Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Emmanuel

angalau he is a Christian kwa mujibu wa jina lake na eneo analotoka ambalo ni predominantly Christian ...
 
Ni sawa mkuu ila nchi haindeshwi na sheria tu kunasehemu utakwama.
Ni kweli mkuu ila, hakuna Rais ataekamilika kwa 100%, kikubwa awe na unafuu mkubwa akilinganishwa na waliopita au washindani wake.

Nb. Kikubwa zaidi kwangu, asiwe mtekaji au muuaji, haya mambo yananikwaza sana, huwa yananifanya nifute mema yote yaliyotendwa, kwa kifupi awe mpenda haki.
 
Ndani ya CCM wote ni vibaka na wauaji
Hakuna mtu safi hata mmoja
Hicho ni Chama Cha Mashetani!
 
Sio wazee wa CCM ndo waliopendeza chimbi kweli maana ndo alionekana ana angalau kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…