Acha hizooo best acha na mwenzio akaenjoy bana. Pia inafikia wakati huwa tunataka kutulia na ndoa zetu so kiroho safiii TU mruhusu mwenzio awe na ndoa yake na familia yakeHii kitu tangu Jana haijanipa utulivu, but tuombe mungu asiwe Ni mama j.
Ila Kama Ni yeye kaja kuanzishia Uzi huku, na Nia yake Ni Kama iyo ya mtoa mada
Nakuhakikishia,
Ntamshikisha adabu atasimulia vizazi vyake vyote[emoji4]
Sema amejitakia hayo maisha aisee, yaani utadhani uwanja wa vita ya Ukraine na Urusi, na bado hakuna anabaki kama mchepuko tu hakuna cheo cha kuwa mkeyanii... Mungu atusaidie na ututetea tu wanawake tunapitia magumu 🤣🤣🤣😜!!!
kama Huyo shoo unazingua daahhhhh...angekua kwa mumewe walaaa angetombwa kwa afya tu sio vurugu kiasi hiko 🙆🙆!
Ndo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.Huo ni ubinafsi na ukatili na unyanyasaji pia ujue na umesema wazi ni waruwaru hawazi hata kuwekeza walau.. kama unampenda kwa nia nzuri mwambie awekeze!
Ushauri bora sana huu.Mrudishie vitu vyake muombe muachane.
Akianza kuwa mkorofi na hapo atakuwa anayatafuta.
Nahuyo mpya aambiwe ukweli tu kWani ukweli humuweka Mtu huru ili asije kutoliona gari nyumba akaanza kuuliza ajue kabisa na ndipo atajua kama kampenda yeye kam yeye au mali zake hizoAtaweza tuu,,,sema hofuyangu asijinyonge kama yule wa geita
Kweli kabisa, kwani unadhani kwa nini ameng'ang'ana hivyo? Anavyo anavofaidika navyo tena ni vikubwa kuliko hizo rasilimali anazotoa. Ndiyo maana ameshamuweka daraja ya mke wa pili na ana wivu sana naye.Ndio utamu, faraja, ukute kampikia, kampa kampan, ukizingatia pia jamaa hataki kusalitiwa hivyo na muda unahusika. Vipo vingi jamani tunavyooffer ila kwakuwa havionekani mnavichukulia poa sanaa sijui kwanini?
Si uolewe mke wa pili?Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Sina presha kabisa, nishajiandaa kwa kisasi Skylar .Hebu kashike simu ya mama J uone kama anatumia JF[emoji28][emoji28][emoji28], be warned usije ukadondoka presha bure
nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia.
Umeshajua udhaifu wake muoe basi awe mke mdogo anaejulikana ili uwe unajilia kwa uhuru kwa raha zakoooNdo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.
Tatiz Ni makuzi yake nadhani, anapenda Sana Maisha ya kuparty Sana na Ni mfujaji sana wa pesa.
Ana elimu yake nzur TU,
Ila akili yake utadhan mtu asiekwenda shule.
Kwanza nahs alivowaruwaru ndo Maana hawez KUPATA kazi ya Maana kwa fani aliyosomea.
Rudisha vitu vyake vyote.Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Mtafute mke wake, mwambie kuwa unatembea na mume wake. Hapo mtake msitake mtaachana tuHabari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even
Huyu atamfuata tu po pote atakapokwenda. Ni vyema wakaachana kwa kuelewana.Tafuta kazi mahali pengine taratibu, siku ukipata mrudishie jamaa gari yake, kodi yake ya nyumba halafu hamia mahali pengine ukaanze upya, ila jua kwamba its not easy, huyo mwamba amekufanyia investment kubwa sidhani kama utachomoka kirahisi
Huwa wanasema malipo ni hapahapa duniani, kwa hiyo kuwa mpole tu ulipe jasho la mume wa mtu
Sasa nimechoka jamani
Huyu mume wa mtu nishamtafutia visingizio ili tuachane ila inashindikana
Arekebishe kipengele Cha tabia na utu Kwanza,umeshajua udhaifu wake muoe basi awe mke mdogo anaejulikana ili uwe unajilia kwa uhuru kwa raha zakooo
Na hili ni kweli analokuambja hakutanii nakuambia namie. Hizo gharama alizotumia kwako ni nyingi Sana na anakupenda kwa dhati. Kikubwa mzalie ndo pona yako ya kubakia na Mali zake.Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo.