Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Hii kitu tangu Jana haijanipa utulivu, but tuombe mungu asiwe Ni mama j.

Ila Kama Ni yeye kaja kuanzishia Uzi huku, na Nia yake Ni Kama iyo ya mtoa mada

Nakuhakikishia,
Ntamshikisha adabu atasimulia vizazi vyake vyote[emoji4]
Acha hizooo best acha na mwenzio akaenjoy bana. Pia inafikia wakati huwa tunataka kutulia na ndoa zetu so kiroho safiii TU mruhusu mwenzio awe na ndoa yake na familia yake
 
yanii... Mungu atusaidie na ututetea tu wanawake tunapitia magumu 🤣🤣🤣😜!!!
kama Huyo shoo unazingua daahhhhh...angekua kwa mumewe walaaa angetombwa kwa afya tu sio vurugu kiasi hiko 🙆🙆!
Sema amejitakia hayo maisha aisee, yaani utadhani uwanja wa vita ya Ukraine na Urusi, na bado hakuna anabaki kama mchepuko tu hakuna cheo cha kuwa mke
 
Huo ni ubinafsi na ukatili na unyanyasaji pia ujue na umesema wazi ni waruwaru hawazi hata kuwekeza walau.. kama unampenda kwa nia nzuri mwambie awekeze!
Ndo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.

Tatiz Ni makuzi yake nadhani, anapenda Sana Maisha ya kuparty Sana na Ni mfujaji sana wa pesa.

Ana elimu yake nzur TU,
Ila akili yake utadhan mtu asiekwenda shule.

Kwanza nahs alivowaruwaru ndo Maana hawez KUPATA kazi ya Maana kwa fani aliyosomea.
 
Ataweza tuu,,,sema hofuyangu asijinyonge kama yule wa geita
Nahuyo mpya aambiwe ukweli tu kWani ukweli humuweka Mtu huru ili asije kutoliona gari nyumba akaanza kuuliza ajue kabisa na ndipo atajua kama kampenda yeye kam yeye au mali zake hizo
 
Sijui nani atatuletea mrejesho juu ya kuchomwa na gunia mbili za mkaa ama kupigwa risasi ya ubongo maana wakati huo mleta mada atakuwa marehemu.

Anyways tukiona kimya kirefu kutoka kwako tujue tu ndo basi tena.

Yaani kila siku unasikia mauaji mapya kuhisiana na mapenzi halafu nawewe unaleta mzaha.

Kwanza akigundua tu una huo mchepuko anaweza akakutwanga risasi papo hapo jiandae.
 
Ndio utamu, faraja, ukute kampikia, kampa kampan, ukizingatia pia jamaa hataki kusalitiwa hivyo na muda unahusika. Vipo vingi jamani tunavyooffer ila kwakuwa havionekani mnavichukulia poa sanaa sijui kwanini?
Kweli kabisa, kwani unadhani kwa nini ameng'ang'ana hivyo? Anavyo anavofaidika navyo tena ni vikubwa kuliko hizo rasilimali anazotoa. Ndiyo maana ameshamuweka daraja ya mke wa pili na ana wivu sana naye.
 
Hebu kashike simu ya mama J uone kama anatumia JF[emoji28][emoji28][emoji28], be warned usije ukadondoka presha bure
Sina presha kabisa, nishajiandaa kwa kisasi Skylar .

Huwa siwezi kuentertain upuuzi Mimi, nishachoma pesa mingi Sana kwake kwa miaka yote hii mitatu kwny mahusiano aya[emoji3525]
 
Mrudishie vitu vyote alivyokununulia utakuwa huru inaonekana hukumpenda Bali ulimpenda jinsi alivyokuwa anakusaidia. Bado nazidi kuamini ili ujue mwanamke anakupenda basi akuzidi kipato afu akukubali ulivyo. Yaani awe kazi yake kubwa kwako anachohitaji ni penzi basi na so chochote.
nijikwamue kwenye hili shimo nililojichimbia.
 
Ndo Najaribu kumbadili akili yake kidg kidg awe na akili Kama wanawake wengine.

Tatiz Ni makuzi yake nadhani, anapenda Sana Maisha ya kuparty Sana na Ni mfujaji sana wa pesa.

Ana elimu yake nzur TU,
Ila akili yake utadhan mtu asiekwenda shule.

Kwanza nahs alivowaruwaru ndo Maana hawez KUPATA kazi ya Maana kwa fani aliyosomea.
Umeshajua udhaifu wake muoe basi awe mke mdogo anaejulikana ili uwe unajilia kwa uhuru kwa raha zakooo
 
Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.

Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo yenu sana. Ninapitia sijui niseme ni wakati mgumu au ni ujinga wa kujitakia. Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu sasa yapata miaka mitatu. Imefikia hatua nimechoka na nahitaji kujing’atua ila nakosa njia nzuri ya kuachana nae. Am not even
Mtafute mke wake, mwambie kuwa unatembea na mume wake. Hapo mtake msitake mtaachana tu
 
Tafuta kazi mahali pengine taratibu, siku ukipata mrudishie jamaa gari yake, kodi yake ya nyumba halafu hamia mahali pengine ukaanze upya, ila jua kwamba its not easy, huyo mwamba amekufanyia investment kubwa sidhani kama utachomoka kirahisi

Huwa wanasema malipo ni hapahapa duniani, kwa hiyo kuwa mpole tu ulipe jasho la mume wa mtu
Huyu atamfuata tu po pote atakapokwenda. Ni vyema wakaachana kwa kuelewana.
 
Umeona furaha sio kuwa na vitu lakini. Maana mwanzoni uliyafurahia maisha yake na wewe kisa ya vitu. Sasa hivi unahitaji furaha yako halisi ambayo inatoka ndani ya moyo wako.

Inabidi umzalie usipomzalia atachukua kila kitu na hiyo nyumba atampa atakayemzalia. Binafsi mwanamke akinizalia nyumba namjengea na kumpa mtaji wa biashara ili aishi vizuri na mwanangu na sio kuteseka na mwanangu na huku mie nipo
Sasa nimechoka jamani
 
umeshajua udhaifu wake muoe basi awe mke mdogo anaejulikana ili uwe unajilia kwa uhuru kwa raha zakooo
Arekebishe kipengele Cha tabia na utu Kwanza,

Anipende Mimi Kama Mimi na sio kwasababu namhudumia.

Kuoa mwanamke mwenye tabia mbovu mbovu na aliekupendea pesa Ni kujichi.bia kaburi mapema kabisa
 
Ni mwanaume anayejali sana ila ana wivu balaa. Ni mara kadhaa amekuwa akinitishia kuwa akigundua ninamsaliti atanikata shingo.
Na hili ni kweli analokuambja hakutanii nakuambia namie. Hizo gharama alizotumia kwako ni nyingi Sana na anakupenda kwa dhati. Kikubwa mzalie ndo pona yako ya kubakia na Mali zake.
Ama akupe mke wa pili kwani ndio wee utakuwa wa kwanza na utapoteza Nini ukiolewa naye jamani
 
Amani ya moyo Ina thamani kuliko chochote stage uliyofikia na jamaa ni mbali Sana changamoto uliyoko nayo ni kubwa Sana

Fanya kitu kimoja ukweli humweka mtu huru jitoe mhanga mwambie ukweli jamaa usifiche Wala kudanganya chochote mwambie wewe ni mtoto wa kike unahitaji kua na Maisha na familia Kama ilivyo kwake hauko tayari kua mke mdogo kwake unahitaji kua na mwanaume wako muanzishe familia nae msiklize kwa makini sana wakati akikujibu na majibu yake tuletee huku tuendelee kukushauri atakachokujibu kitakupa mwanga wa nini Cha kufanya zaidi

N.b wakati utakapomueleza hili uwe umeshajitoa mhanga kukosa alivyoviwekeza kwako ikiwepo nyumba na gari kwa kazi sizani Kama ataeeza kukunyanganya Kama ni mwanaume anaejielewa hata hiyo nyumba na gari anaweza akakuachia tu wanaume tunatofautiana ishu kubwa hapa ni wewe kua mkweli jaribu hii njia then type mrejesho
 
Back
Top Bottom