Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Big boy hawezi kubali kirahisi rahisi hivyo kwa solution ya kumrudishia vitu vyake, maana jamaa kashawekeza kwa dada hapo kwahiyo kashatune mind ni wake..

Hata wakiachana atamfanyia visasi tu, kinachowatesa watu ni attachment
 
Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Ushaambiwa ukubali kurudisha vitu vya watu,utapata nguvu ya kusema muachane.
Hapo utabaki na kazi tuu,ila ni bora kuliko kua mtumwa.
Ila ka huyo mme wa mtu hana akili nzuri anaweza akakuundia zengwe kazini,nako ukafukuziliwa mbali.
Pole,ila kua tayari kuanza A..upyaa.
 
Rudisha vitu vyote vya baharia kisha Mwambie nia hako ya kutaka kuwa huru, huwezi kula mali za mkulungwa kisha utake kuescape kifala fala utakuja kufa kifo cha popo bwege wewe.
 
Bwana wee yaani wakati anapewa mkoko na nyumba hajatuita tumshauri sasa ameshakula hela za mume wa mtu ndio anajidai nina kamjamaa nadate nako ndio mapenzi ninayotaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie tu kimahaba huku unakuna kitambi chake au kifua chake kwamba bby unajua umri unaenda na mimi nahitaji kuolewa na nyumbani umeshatafutiwa mchumba[emoji848]
 
Acha tabia mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa mie tabia ynagu mbaya ni ipi hapo? nyie warembo ndio muache tabia mbaya ya kutunzwa alafu baadae mnajidai nataka true love.
nashangaa ule msemo wenu wa better to cry kwa merc than a bicycle utekelezaje wake unakuwa mgumu
 
Mwambie tu kimahaba huku unakuna kitambi chake au kifua chake kwamba bby unajua umri unaenda na mimi nahitaji kuolewa na nyumbani umeshatafutiwa mchumba[emoji848]
mama atajengewa nyumba ndio utashangaa mama naye anasema mwanangu wewe mzalie tuu muhimu huduma
 
sasa mie tabia ynagu mbaya ni ipi hapo? nyie warembo ndio muache tabia mbaya ya kutunzwa alafu baadae mnajidai nataka true love.
nashangaa ule msemo wenu wa better to cry kwa merc than a bicycle utekelezaje wake unakuwa mgumu
Kwani jamaa yy hajafaidi? The lady wants to move on na yeye awe na familia yake.

Kama shida ni hizo vitu, mbona mdada wa watu alimpatia mahaba tele pia but kama vipi anaweza virudisha ili awe free
 
Mrejeshee Mali zote alizokuhonga kisha mwambie umeamua Ku move on..
 
Kwani jamaa yy hajafaidi? The lady wants to move on na yeye awe na familia yake.

Kama shida ni hizo vitu, mbona mdada wa watu alimpatia mahaba tele pia but kama vipi anaweza virudisha ili awe free
wee bwana warembo wa mujini walishazoea life zuri unadhani kuviachia hivyo vitu inakuwa rahisi kihivyo bwana. cha msingi bidada yeye aendelee kumpa jamaa mbusus basi na kumwambia ukweli kuwa mie kwa sasa siwezi kuzaa na mume wa mtuile kutombaaa wee tombaaa tuu style zote utaakazo
 
Eeehhh...labda kama sugar daddy anafahamika kwao.

Kwani dada amekwambia kuwa mamake hana pakukaa?
wewe bwana sasa mtu kamjenge mrembo nyumba bado alalipa kodi ya nyumba na mkoko juu plus other viwanja atashindwa mjengea nyumba mamaa ya murembo ili kulainisha mambo yeye apate nke wa pili?
 
dini yako ni ipi?
 
Thread Tele Humu Watu Wanakufa Kisa Mapenzi Nawe Umeanza
Rudisha
Gari Alilokununulia
Nyumba Aliyokujengea
Kodi Anayolipa

Halafu Huyo Unayempenda Mkaanze Upya
Hapo Umenasa Mwenyewe, Huna Namna
hii ni idea nzuri sema huyu dada sio rahisi kurudisha ivyo vitu, na huenda akivirudisha huyu aliyempata sasahivi akamkimbia. Karma ipo, usikute na yeye anachunwa kama alivyomchuna mme wa mtu
 
wanaume by nature hawapendi kushindwa, hata kama anajua ana mke sio rahisi kukuachia kirahisi uende tu kuolewa na boya mwengine. From the story huyo mume wa mtu pesa kwake sio issue, yani kitendo cha uyu dada kumuweka wazi amepata mwanaume mwengine atanyongwa maana atahisi amemdhalilisha, ila asikubali kuzaa nae, ushapitia topic za single mother humu ndani?
 
atazeeka ataachwa hana kitu, ujana maji ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…